Sitachoka
JF-Expert Member
- Nov 17, 2011
- 3,030
- 1,306
- Thread starter
- #21
Inategemea na ukubwa wa eneo mkuu kama ni 15×20 ni sawa laki I si 40×40 mkuuDodoma
VIKONJE MIL 22 HIVI HELA HIZI JAMEN WENGINE MNAZIPATA WAPI? SISI WABONGO hatuna uhalisia kabisa...Kuna kipindi kiwanja Masaki kilikua mil 8 dola..Wakati marekani nyumba inauzwa dola laki 3