Okey ila kwa uwelewa, wangu mdogo nadhan kiwanja kinatambulishwa kwa mtaa uliopo na si kwa kata.Nkuhungu ni Kata, nmadani ni mtaa ndani ya nkuhungu
27m 40x40 Dodoma? NooKiwanja cha kwanza kipo mnada mpya barabara ya Singida Road kina ukubwa wa 39*36 hiki kinataka milioni 22mil kimepimwa hati bado..
Picha yake
Kiwanja cha pili kipo Vikonje baada ya kutoka Ihumwa barabara ya Chamwino kina ukubwa wa 40*40 hiki kinataka 27mil kimepimwa hati bado..
Picha yake
Mawasiliano kwa aliye tayari 0622723082.. 0755472769
View attachment 1881543
View attachment 1881545
Aisee. Nimechoka balaaDodoma
VIKONJE MIL 22 HIVI HELA HIZI JAMEN WENGINE MNAZIPATA WAPI? SISI WABONGO hatuna uhalisia kabisa...Kuna kipindi kiwanja Masaki kilikua mil 8 dola..Wakati marekani nyumba inauzwa dola laki 3
Walikimbilia neno makao makuu.Da mshaanza kukimbia dom
Shangaa mkuu sijui wenzetu wanapata wapi hela,mnada mpya ununue kwa mil.22 kiwanja plain????Dodoma
VIKONJE MIL 22 HIVI HELA HIZI JAMEN WENGINE MNAZIPATA WAPI? SISI WABONGO hatuna uhalisia kabisa...Kuna kipindi kiwanja Masaki kilikua mil 8 dola..Wakati marekani nyumba inauzwa dola laki 3