Nauza watoto wa Nguruwe kuanzia miezi 2

Nauza watoto wa Nguruwe kuanzia miezi 2

mac muga

Senior Member
Joined
Oct 12, 2018
Posts
119
Reaction score
163
ofer ya siku kuu.nauza watoto wa nguruwe wa kuanzia mienzi miwili ,mitatu na kuendelea na wanaofaa kula.bei wako wa 40000,50000,70000 na kuendelea.napatikana segerea dar es salaam.karibuni sana.
 
Wa miezi miwili wa kula?!
 
Naomba namba ya simu tuwasiliane mimi nahitaji nipo kisukuru.
 
ofer ya siku kuu.nauza watoto wa nguruwe wa kuanzia mienzi miwili ,mitatu na kuendelea na wanaofaa kula.bei wako wa 40000,50000,70000 na kuendelea.napatikana segerea dar es salaam.karibuni sana.
Picha iko wapi usijekuta ni vinguchiro
 
Na maanisha wasiwe ni ile mbegu ndogo kama nguchiro.
Ngichiro ni wanyama pori wanaotembea kundi kubwa walao wadudu wataambaao hadi nyoka wakikuta wanakula
apana sio mbegu hiyo mkuu
 
Back
Top Bottom