Nauza watoto wa Nguruwe kuanzia miezi 2

Nauza watoto wa Nguruwe kuanzia miezi 2

We kulaga usitake kujadili umri

Unadhani wanachinjaga wa mwaka ukitaka kuamini ni wadogo agiza mbavu utaviona vidogoo
Nguruwe wa miezi mitatu anaweza kulingana ukubwa na nguruwe wa miezi sita lakini wakichinjwa nyama zao ni tofauti kabisa.
 
ofer ya siku kuu.nauza watoto wa nguruwe wa kuanzia mienzi miwili ,mitatu na kuendelea na wanaofaa kula.bei wako wa 40000,50000,70000 na kuendelea.napatikana segerea dar es salaam.karibuni sana.
Weka namba ya simu
 
ofer ya siku kuu.nauza watoto wa nguruwe wa kuanzia mienzi miwili ,mitatu na kuendelea na wanaofaa kula.bei wako wa 40000,50000,70000 na kuendelea.napatikana segerea dar es salaam.karibuni sana.
Haramu
 
Back
Top Bottom