Nguruwe wa miezi mitatu anaweza kulingana ukubwa na nguruwe wa miezi sita lakini wakichinjwa nyama zao ni tofauti kabisa.We kulaga usitake kujadili umri
Unadhani wanachinjaga wa mwaka ukitaka kuamini ni wadogo agiza mbavu utaviona vidogoo
[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]Picha iko wapi usijekuta ni vinguchiro
kama kufagia uwanja na kumwagilia mauakupigaje kazi
majinunikama kufagia uwanja na kumwagilia maua
ukapimwe akilikama kufagia uwanja na kumwagilia maua
Weka namba ya simuofer ya siku kuu.nauza watoto wa nguruwe wa kuanzia mienzi miwili ,mitatu na kuendelea na wanaofaa kula.bei wako wa 40000,50000,70000 na kuendelea.napatikana segerea dar es salaam.karibuni sana.
nikutumie pm mkuu?Weka namba ya simu
Weka namba au njoo pmNguruwe wa miezi mitatu anaweza kulingana ukubwa na nguruwe wa miezi sita lakini wakichinjwa nyama zao ni tofauti kabisa.
nakuja pm mkuu
😳nakuja pm mkuu
Haramuofer ya siku kuu.nauza watoto wa nguruwe wa kuanzia mienzi miwili ,mitatu na kuendelea na wanaofaa kula.bei wako wa 40000,50000,70000 na kuendelea.napatikana segerea dar es salaam.karibuni sana.
Labda zinakuwa kama kuku za kisasaWa miezi miwili wa kula?!
Apana-Hapanaapana sio mbegu hiyo mkuu
duhApana-Hapana
Sio-Siyo
kwako wewe ndo haramu.jaribu kuonja siku mkuuHaramu
Siyo ndama?Mods edit title sio 'watoto wa nguruwe' ni 'vibwagala'
ndama ni kwa ng'ombe tuSiyo ndama?
kuna wale wa madawa.mbulu nilishawahi kuonaLabda zinakuwa kama kuku za kisasa