Nauza Wazo la Kampeni Litakalokufanya Upendwe na Jimbo Lako Ndani ya Muda Mfupi!

Meneja Wa Makampuni

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2020
Posts
9,397
Reaction score
12,415
Najua wagombea wengi wa ubunge kwa sasa wanahaha kutafuta mbinu mpya za kuvutia wananchi na kupata upendo wa kweli katika majimbo yao.

Usihangaike tena nina wazo la kipekee, la kisasa na la haraka litakalokuweka mbele ya wote!

Unatafuta njia ya kugusa mioyo ya watu na kuwa gumzo kwenye jimbo lako bila kelele nyingi?

Njoo upate wazo la kampeni ambalo litaongeza ushawishi wako na kukufanya uwe chaguo namba moja kwa wananchi.

๐Ÿ”น Wazo hili ni la kisasa, la haraka, na linatumika bila kuhutubia mikutano mingi!
๐Ÿ”น Linaleta upendo, mvuto na heshima kutoka kwa vijana, wazee na kila kundi.
๐Ÿ”น Utaanza kuona matokeo ndani ya wiki moja tu!

Fanya tofauti. Fanya jimbo lako likupende!

Wasiliana nami sasa upate wazo hili kabla wengine hawajalinasa!

๐Ÿ“ž WhatsApp: 0612607426
๐Ÿ“ฉ Email: bandg.editors@gmail.com

Chukua hatua sasa, jenga jina lako kwa style mpya ya kisasa!
 
Watakuja wabunge 30 huko WhatsApp utawauzia wazo,baadaye watafanya kampeni Kwa staili inayofanana kitu ambacho raia wa Tanzania watajua ni staili mpya ya kuwahadaa na kuwatapeli
 
Wakucheki uwqpe wazo sio ? Manyumbu na mburukenge haziishi nchi hii
 
Wazo la kuwadanganya wajinga?

Jukumu la Bunge ni moja au mawili,
1. Kuisimamia Serikali
2. kutunga sera.
3. Kuwakilisha wananchi au mawazo ya wananchi huko Bungeni.

CIVICS darasa la kwanza.


Swaga za sijui ajira, sijui nitatoa elimu bure ni za kuhadaaa wapumbavu wa hii Jamhuri.
 
2015 uliwauzia wazo la kupiga push_up likafanikiwa kutuletea uongozi wa mabavu.

2020 - Kugaragara kwenye vumbi na uchawa

2025 - ๐Ÿฅธ?
 
Watakuja wabunge 30 huko WhatsApp utawauzia wazo,baadaye watafanya kampeni Kwa staili inayofanana kitu ambacho raia wa Tanzania watakua ni staili mpya ya kuwahadaa na kuwatapeli
Hili wazo linatolewa kwa mbunge mmoja tu wa kwanza atakaye wahi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ