MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 21,387
- 44,030
Tafuta wazo la kupendwa na INECNajua wagombea wengi wa ubunge kwa sasa wanahaha kutafuta mbinu mpya za kuvutia wananchi na kupata upendo wa kweli katika majimbo yao.
Usihangaike tena nina wazo la kipekee, la kisasa na la haraka litakalokuweka mbele ya wote!
Unatafuta njia ya kugusa mioyo ya watu na kuwa gumzo kwenye jimbo lako bila kelele nyingi?
Njoo upate wazo la kampeni ambalo litaongeza ushawishi wako na kukufanya uwe chaguo namba moja kwa wananchi.
๐น Wazo hili ni la kisasa, la haraka, na linatumika bila kuhutubia mikutano mingi!
๐น Linaleta upendo, mvuto na heshima kutoka kwa vijana, wazee na kila kundi.
๐น Utaanza kuona matokeo ndani ya wiki moja tu!
Fanya tofauti. Fanya jimbo lako likupende!
Wasiliana nami sasa upate wazo hili kabla wengine hawajalinasa!
๐ WhatsApp: 0612607426
๐ฉ Email: bandg.editors@gmail.com
Chukua hatua sasa, jenga jina lako kwa style mpya ya kisasa!
Ngoja tuanze na hili kwanza kuna watu wengi wanahofu sana ya kupoteza majimbo huu ni muda wa kuwaondoa hofu.Tafuta wazo la kupendwa na INEC
Mimi nina wazo la kisasaUngesema una Mganga konki wangemiminika kwa wingi
Mwaka huu ni mgumu sana kwa wabunge wengine wanagawa hadi Khanga.We mwenzetu kila mahala unaonaga fursa.
Safari hii CCM inapeleka majina matatu tu kwa wajumbe. Wengi wanapigwa mkasi mapema.
Hii biashara yako unatangaza mapema sana maana huko CCM ukitoa wabunge wanao maliza muda na wawili wengine tu (ambao hawajijui) ndio wataenda kwa wajumbe au ili tangazo ni kwa CHAUMA kwa sasa.
Wasanii safari hii wanachezea hela zao tu hawafiki hata kwa wajumbe, CCM ina wala vichwa mapema.
Kagombee mwenyewe bwege weweNajua wagombea wengi wa ubunge kwa sasa wanahaha kutafuta mbinu mpya za kuvutia wananchi na kupata upendo wa kweli katika majimbo yao.
Usihangaike tena nina wazo la kipekee, la kisasa na la haraka litakalokuweka mbele ya wote!
Unatafuta njia ya kugusa mioyo ya watu na kuwa gumzo kwenye jimbo lako bila kelele nyingi?
Njoo upate wazo la kampeni ambalo litaongeza ushawishi wako na kukufanya uwe chaguo namba moja kwa wananchi.
๐น Wazo hili ni la kisasa, la haraka, na linatumika bila kuhutubia mikutano mingi!
๐น Linaleta upendo, mvuto na heshima kutoka kwa vijana, wazee na kila kundi.
๐น Utaanza kuona matokeo ndani ya wiki moja tu!
Fanya tofauti. Fanya jimbo lako likupende!
Wasiliana nami sasa upate wazo hili kabla wengine hawajalinasa!
๐ WhatsApp: 0612607426
๐ฉ Email: bandg.editors@gmail.com
Chukua hatua sasa, jenga jina lako kwa style mpya ya kisasa!
Itasaidia nini Kwa Mbunge wa Jimbo moja,halafu majimbo yanazaliwa kila sikuHili wazo linatolewa kwa mbunge mmoja tu wa kwanza atakaye wahi.
Siwezi kusaidia kila mtu namwihitaji mbunge mmoja asiye kubalika ili aweze kukubalika kwa haraka.Itasaidia nini Kwa Mbunge wa Jimbo moja,halafu majimbo yanazaliwa kila siku
Sio kila mtu lazima agombee mkuu. Hatuwezi kugombea wote. Sababu zipo nyingi.Kagombee mwenyewe bwege wewe
Ni kweli bossSema kwanini utashindwa .
1. Kama sio mbunge mpya na hajafanya juhudi yeyote hakuna wakumdanganya .
2. Labda washindani wapya Meneja Wa Makampuni
Wazo hili linaweza kutumika katika majimbo tofauti kama lilivyoItasaidia nini Kwa Mbunge wa Jimbo moja,halafu majimbo yanazaliwa kila siku
Mambo yakwenda kwa waganga yanaweza kuangamiza taifa.Ungesema una Mganga konki wangemiminika kwa wingi