Nauza Wifi Bulb Camera

Umemjibu vizuri sana. Kama ameona za bei rahisi akanunue huko na si kuja kuchafua biashara za watu. Wabongo ujuaji mwingi na ilihali hatuna tujualo.
Na kuna wengine wanauza zaidi ya bei hii ninayo uza hapa hapa JF na hawana package ya 128 GB
Kuweka Biashara Jf siku zote changamoto sana, Mtu anachofikiria ni kuchafua uonekane hauko sahihi
 
Mwamba mbona umeshupaza fuvu kulazimisha unachotaka wewe katika biashara ya mtu. Si uagizie huko AliExpress? Kwani kakuwekea kisu cha shingo ununue kwake?
Kama Aliexpress mbali aingie Jiji huko pia Kuna Wauzaji Kibao
 
Wakuu hizi kamera zinasaidia sana hasa kwa wale wanaokua mbali na nyumbani, umeacha watoto pale nyumbani bila uangalizi mzuri
Unaweza kutrack kinachoendelea na kukupunguzia wasiwasi
Pia kama una biashara yako, unataka kutraki mienendo ya mazingira ukiwa haupo, basi hii kamera ndo yenyewe

Uzuri ni rahisi kufunga, fundi umeme anafunga ndani ya nusu saa tu
 

nieleweshe kidogo Mkuu
hiyo kamera inaweza kutumika kama mbadala wa bulb pia? yaan kama nje kwangu niifunge ifanye kazi kama taa ya nje na wakati huo huo iwe ni kamera?
 
Jibu maswal iacha maneno mengi. Umeziagiza kutoka wapi na ni brand gani?
 
nieleweshe kidogo Mkuu
hiyo kamera inaweza kutumika kama mbadala wa bulb pia? yaan kama nje kwangu niifunge ifanye kazi kama taa ya nje na wakati huo huo iwe ni kamera?
Hapana mkuu hiyo ni kamera inayofungwa kwenye holder kama ya Bulb
Sio ya kumulika inamulika usiku tu kama flash inapoditect object kwenye giza nene

Lakini haitumiki kama taa kwa ajili ya kupata mwanga
Ufungaji wake ni kama unataka kuweka Bulb tofauti ni kule kwenye holder badala ya kuweka Bulb unaweka hii kamera
 
Usiwaze sana kujua nyumbani kwako ukiwa haupo nini kinaendelea
Chukua Hii mashine, itakusaidia kupata utulivu
 
Camera moja inatosha kabisa kuchukua tukio kwa uzuri hata kwa chumba chenye futi 30 kwa 20
 
Ni wakati wa kuondoka Home ukijiamini, Camera itamalizana na matukio usiyoyajua
Achia ofisi yako vijana kwa kujiamini kabisa, Camera itawaumbua
 
Wateja wangu mliochukua camera kama itawapendeza naomba msisite kutoa mrejesho
 

Safi sanaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…