BANGO JEUPE
JF-Expert Member
- Nov 21, 2015
- 3,079
- 2,152
- Thread starter
- #21
Na kuna wengine wanauza zaidi ya bei hii ninayo uza hapa hapa JF na hawana package ya 128 GBUmemjibu vizuri sana. Kama ameona za bei rahisi akanunue huko na si kuja kuchafua biashara za watu. Wabongo ujuaji mwingi na ilihali hatuna tujualo.
Kuweka Biashara Jf siku zote changamoto sana, Mtu anachofikiria ni kuchafua uonekane hauko sahihi