Nauza wine kutoka Dodoma kwa ujazo wa Lita 1, 3 na 5

Nauza wine kutoka Dodoma kwa ujazo wa Lita 1, 3 na 5

SOWETO MAN

Member
Joined
Jan 3, 2025
Posts
35
Reaction score
64
Habari wana jukwaa, nauza Sweet na dry Red Wines kutokea Dodoma kwa ujazo wa Lita 1, Lita 3 na Lita 5...Lita 1 ni Sh.7000/=, Lita 3 ni Sh. 18,000/= na Lita 5 ni Sh.27,000/= (Bei hizi ni za reja reja)....Karibuni sana na Mikoani tunasafirisha pia kwa uaminifu mkubwa sana.
45862.jpg
47888.jpg
 
Kaka huna office dar ? Mtu akitaka hio litre 5 pamoja na usafiri ni bei gani ? Nakushauri kuwa na branch dar kuna wateja sana, bei zako sio mbaya

Kaka huna office dar ? Mtu akitaka hio litre 5 pamoja na usafiri ni bei gani ? Nakushauri kuwa na branch dar kuna wateja sana, bei zako sio mbaya
Kaka sina ofisi Dar , nina agent wangu Muaminifu yupo hapo Ubungo na anasambaza bidhaa kwa uaminifu mkubwa tu namba yake ni hii +255696176200.
 
Kaka sina ofisi Dar , nina agent wangu Muaminifu yupo hapo Ubungo na anasambaza bidhaa kwa uaminifu mkubwa tu namba yake ni hii +255696176200.
Kwa hio hata kwa dar bei ni 27k tunaifuata Ubungo ?
 
Mkuu nashida na jambo moja.
Ni wapi wanatengeneza ladha za pombe?
 
Ukisema uko Dodoma ni vyema'' ukasema ofisi ipo Dodoma sehemu gani....

Si unajua Dodoma ni kubwa
 
Nipo Dodoma boss, Dar nina agent wangu anaepokea bidhaa namba yake ni hii +255696176200 yupo ubungo pale.

Ja
Ukiacha ujazo na bei na contact, bado hujanishawishi kuhusu ubora na umuhimu wa kununua toka kwako. Tunajua kuwa ile grade 01 husafirishwa. Sasa tuelezee kuhusu hii inayobakia
 
Back
Top Bottom