Scott junior
JF-Expert Member
- Mar 24, 2022
- 3,705
- 5,540
MkuuNguvu gani boss?
MkuuNguvu gani boss?
Mnashusha hadhi ya wine. Wine huifadhiwa ama kuwekwa kwenye chupa ya glass. Wine siyo mafuta.Habari wana jukwaa, nauza Sweet na dry Red Wines kutokea Dodoma kwa ujazo wa Lita 1, Lita 3 na Lita 5...Lita 1 ni Sh.7000/=, Lita 3 ni Sh. 18,000/= na Lita 5 ni Sh.27,000/= (Bei hizi ni za reja reja)....Karibuni sana na Mikoani tunasafirisha pia kwa uaminifu mkubwa sana.View attachment 3500137View attachment 3500136
PoapoaNdio mkuu
Habari wana jukwaa, nauza Sweet na dry Red Wines kutokea Dodoma kwa ujazo wa Lita 1, Lita 3 na Lita 5...Lita 1 ni Sh.7000/=, Lita 3 ni Sh. 18,000/= na Lita 5 ni Sh.27,000/= (Bei hizi ni za reja reja)....Karibuni sana na Mikoani tunasafirisha pia kwa uaminifu mkubwa sana.View attachment 3500137View attachment 3500136

Unapata mkuu, naomba tutafutane kwa mawasiliano haya ya kwangu binafsi ya Whatsapp 0621599120, tupatane sehemu unapo hitaji kuletewa!Nahitaji lita 5 semi sweet
Napatikana Chang'ombe Extension mkuuUkisema uko Dodoma ni vyema'' ukasema ofisi ipo Dodoma sehemu gani....
Si unajua Dodoma ni kubwa
Kwetu bidhaa zote zina uniformity moja na ubora mmoja, hatuuzii watu makombo ama zilizo chakachuliwa!Ukiacha ujazo na bei na contact, bado hujanishawishi kuhusu ubora na umuhimu wa kununua toka kwako. Tunajua kuwa ile grade 01 husafirishwa. Sasa tuelezee kuhusu hii inayobakia
Ooh nashukuru sana kwa mrejesho wako huu na kuhusu containers za glass bado hatujafikia matumizi ya packaging za kwenye chupa na hili swala lipo mbioni kutumia ili tuwe na variety ya containers mbalimbaliMkuu
weka taarifa zaidi kuhusu ubora na aina ulizo nazo (Sweet, nknk)
Pia ningependa kujua kama unauza zile containers maalum za glass za kutunzia hadi lita 3 hivi, sababu watu wenye hela zetu kama mimi na matajiri wenzangu wa JF hatuwezi nunua wine na kuiunza kwenye kopo kama hilo, nitanunua ila nihamishie kwenye container nzuri ya glass
Lita yoyote ile ina percentage ya alcohol inayo fanana (uniform), kwa bidhaa yetu ina alcohol percentage ya 14 hivyo basi haijalishi iwe ni nusu lita au lita 5 zote zina alcohol percentage ya 14So nikinunua lita 5 inakuwa na alcohol
So nikinunua mfano lita inakuwa na alcohol percent ngapi??
Ok nitamchekiDar nina agent wangu anae pokea bidhaa zetu, namba yake ni hii +255696176200 boss
Hapa ndo nachanganyikiwaga, kwahiyo ataekunywa 5ltrs na ataekunywa 1ltrs wore watalewa sawa? Nieleweshwe kama mtoto wa chekechea tafafhaliLita yoyote ile ina percentage ya alcohol inayo fanana (uniform), kwa bidhaa yetu ina alcohol percentage ya 14 hivyo basi haijalishi iwe ni nusu lita au lita 5 zote zina alcohol percentage ya 14
<Kwa hisani ya o3 AI>Hapa ndo nachanganyikiwaga, kwahiyo ataekunywa 5ltrs na ataekunywa 1ltrs wore watalewa sawa? Nieleweshwe kama mtoto wa chekechea tafafhali
Kunywa kwa kiasi na usijaribu nyumbani—mwili ni mmoja tu! 🚰🍹Hivyo basi, anayekunywa 5 lita hata lewa zaidi (mara 5) kuliko anayekunywa 1 lita, kwa sababu kapakia pombe nyingi zaidi mwilini, ingawa nguvu (14 %) ni ileile.
Hii bidhaa yako imedhibitishwa na tbs
Shukran sanaa ndugu kwa ufafanuzi huu ulio shiba!.<Kwa hisani ya o3 AI>
Hebu tuchore picha rahisi kabisa—kama vile tunamfundisha mtoto wa chekechea 🧸
- Fikiria rangi
- Una rangi nyekundu yenye nguvu ileile (14 %) kwenye ndoo kubwa na chupa ndogo.
- Rangi ni “nzito” sawa (concentration), lakini ukiimina kwenye beseni kubwa, kiasi cha rangi kinakuwa kingi zaidi.
- Tafsiri kwa kinywaji cha 14 %
- 14 % inamaanisha “kati ya sehemu 100 za kinywaji, sehemu 14 ni pombe safi.”
- Kwa Kiswahili chekechea: “Kila vikombe 100, vikombe 14 ni pombe tu.”
- Kiasi kinachobebwa na mwili wako
| Kiasi unachokunywa | Hesabu ya haraka | Pombe safi inayoingia mwilini |
|--------------------|------------------|------------------------------|
| 1 lita | 1 lita × 14 % = 0.14 lita (140 ml) | 🚦 1 kikombe cha chai cha pombe |
| 5 lita | 5 lita × 14 % = 0.70 lita (700 ml) | 🚦🚦🚦🚦🚦 (karibu vikombe 5 vya chai vya pombe) |
Hivyo, 5 lita ina pombe mara 5 ya 1 lita.- Nini kinatokea kwa ulevi?
- Mwili wako haujali “asilimia” tu, unajali jumla ya pombe iliyofika kwenye damu.
- Ukiwa na pombe mara 5 zaidi, mwili wako utahitajika kufanya kazi mara 5 zaidi kuisafisha, na utalevuka zaidi (na kuamka na hangover kali).
- Mfano wa sukari kwenye uji 🍯
- Tuwe na uji wenye sukari 14 %.
- Ukinywa kijiko 1 tu, utapata sukari kidogo.
- Ukinywa bakuli 5, sukari ni ileile “tamu” lakini imezidi sana—utashiba (na pengine utaugua meno).
- Hitimisho la chekechea
- “%%% ni kama nguvu ya dawa; lita ni kama idadi ya vidonge.”
- Dawa nzuri ikizidi vidonge, inaumiza. Vivyo hivyo, kinywaji cha 14 % kikizidi lita, ulevi unazidi.
Kunywa kwa kiasi na usijaribu nyumbani—mwili ni mmoja tu! 🚰🍹
Kwa lugha ya kimatumbi huwa tunasema hivi:Shukran sanaa ndugu kwa ufafanuzi huu ulio shiba!.
Nipo Dar mkuu nitakuchekiUnapata mkuu, naomba tutafutane kwa mawasiliano haya ya kwangu binafsi ya Whatsapp 0621599120, tupatane sehemu unapo hitaji kuletewa!
<Kwa hisani ya o3 AI>
Hebu tuchore picha rahisi kabisa—kama vile tunamfundisha mtoto wa chekechea 🧸
- Fikiria rangi
- Una rangi nyekundu yenye nguvu ileile (14 %) kwenye ndoo kubwa na chupa ndogo.
- Rangi ni “nzito” sawa (concentration), lakini ukiimina kwenye beseni kubwa, kiasi cha rangi kinakuwa kingi zaidi.
- Tafsiri kwa kinywaji cha 14 %
- 14 % inamaanisha “kati ya sehemu 100 za kinywaji, sehemu 14 ni pombe safi.”
- Kwa Kiswahili chekechea: “Kila vikombe 100, vikombe 14 ni pombe tu.”
- Kiasi kinachobebwa na mwili wako
| Kiasi unachokunywa | Hesabu ya haraka | Pombe safi inayoingia mwilini |
|--------------------|------------------|------------------------------|
| 1 lita | 1 lita × 14 % = 0.14 lita (140 ml) | 🚦 1 kikombe cha chai cha pombe |
| 5 lita | 5 lita × 14 % = 0.70 lita (700 ml) | 🚦🚦🚦🚦🚦 (karibu vikombe 5 vya chai vya pombe) |
Hivyo, 5 lita ina pombe mara 5 ya 1 lita.- Nini kinatokea kwa ulevi?
- Mwili wako haujali “asilimia” tu, unajali jumla ya pombe iliyofika kwenye damu.
- Ukiwa na pombe mara 5 zaidi, mwili wako utahitajika kufanya kazi mara 5 zaidi kuisafisha, na utalevuka zaidi (na kuamka na hangover kali).
- Mfano wa sukari kwenye uji 🍯
- Tuwe na uji wenye sukari 14 %.
- Ukinywa kijiko 1 tu, utapata sukari kidogo.
- Ukinywa bakuli 5, sukari ni ileile “tamu” lakini imezidi sana—utashiba (na pengine utaugua meno).
- Hitimisho la chekechea
- “%%% ni kama nguvu ya dawa; lita ni kama idadi ya vidonge.”
- Dawa nzuri ikizidi vidonge, inaumiza. Vivyo hivyo, kinywaji cha 14 % kikizidi lita, ulevi unazidi.
Kunywa kwa kiasi na usijaribu nyumbani—mwili ni mmoja tu! 🚰🍹
Naomba pia faida zake mwiliniKwetu bidhaa zote zina uniformity moja na ubora mmoja, hatuuzii watu makombo ama zilizo chakachuliwa!