SOWETO MAN
Member
- Jan 3, 2025
- 35
- 64
Nipo Dodoma, Napatikana kwa namba hii 0621599120.. KaribuWapi hiyo nikitaka lita 5 napataje
Wapi hiyo nikitaka lita 5 napataje
Mimi nilijua darNipo Dodoma, Napatikana kwa namba hii 0621599120.. Karibu
Kaka huna office dar ? Mtu akitaka hio litre 5 pamoja na usafiri ni bei gani ? Nakushauri kuwa na branch dar kuna wateja sana, bei zako sio mbayaNipo Dodoma, Napatikana kwa namba hii 0621599120.. Karibu
Nipo Dodoma boss, Dar nina agent wangu anaepokea bidhaa namba yake ni hii +255696176200 yupo ubungo pale.toa maelezo uko wapi hapa dar na mtu anapataje
Jatoa maelezo uko wapi hapa dar na mtu anapataje
Dar nina agent wangu anae pokea bidhaa zetu, namba yake ni hii +255696176200 bossMimi nilijua dar
Kaka huna office dar ? Mtu akitaka hio litre 5 pamoja na usafiri ni bei gani ? Nakushauri kuwa na branch dar kuna wateja sana, bei zako sio mbaya
Kaka sina ofisi Dar , nina agent wangu Muaminifu yupo hapo Ubungo na anasambaza bidhaa kwa uaminifu mkubwa tu namba yake ni hii +255696176200.Kaka huna office dar ? Mtu akitaka hio litre 5 pamoja na usafiri ni bei gani ? Nakushauri kuwa na branch dar kuna wateja sana, bei zako sio mbaya
Ina 14% AbvSweet ina alcohol ngapi?
Kwa hio hata kwa dar bei ni 27k tunaifuata Ubungo ?Kaka sina ofisi Dar , nina agent wangu Muaminifu yupo hapo Ubungo na anasambaza bidhaa kwa uaminifu mkubwa tu namba yake ni hii +255696176200.
Ndio mkuuKwa hio hata kwa dar bei ni 27k tunaifuata Ubungo ?
Nguvu gani boss?Watu mnatafuta watu kwa nguvu nyingi sana 🤣🤣🤣
Watu mnatafuta watu kwa nguvu nyingi sana 🤣🤣🤣
Ukiacha ujazo na bei na contact, bado hujanishawishi kuhusu ubora na umuhimu wa kununua toka kwako. Tunajua kuwa ile grade 01 husafirishwa. Sasa tuelezee kuhusu hii inayobakiaNipo Dodoma boss, Dar nina agent wangu anaepokea bidhaa namba yake ni hii +255696176200 yupo ubungo pale.
Ja