Nauza wine kutoka Dodoma kwa ujazo wa Lita 1, 3 na 5

Hauna mpinzani shukrani mkuu!
 
Hii bidhaa yako imedhibitishwa na tbs

Shukran sanaa ndugu kwa ufafanuzi huu ulio shiba!.
Naomba pia faida zake mwilini
Faida yake kubwa mwilini ni kusaidia mmeng'enyo wa chakula lakini pia ni kiburudisho ikitumiwa kwa kiasi
 
Malipo yanakuwaje kwa mtu anaepatikana dar. Ninaweza kumlipa agent baada ya yeye kunipatia mzigo wangu?
 
Hizi ni Juice zenye jina la wine.
 
Nimeona hapo umesema hizo ni bei za rejareja, naomba kujua bei ya jumla ipoje.

Ikiwa nipo dar kuna gharama zingine nitatakiwa kulipia ili mzigo ufike?

Naweza kupata mzigo ambao hauna hiyo logo yako hapo kwenye chupa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…