Navuta picha baadhi ya member humu JF watafananaje siku nikikutana nao

Navuta picha baadhi ya member humu JF watafananaje siku nikikutana nao

madogo hawana siri kabisa.wewe dogo kukupigia simu uniungishe bando ushanitangaza ,nikikupa papuchi si utaweka video kabisa?
Wewe Nae Hauna Dogo. Kwani Kuna Kibaya Hapo Nimekutaja Kha!
 
Beira boy?
Haka Kadogo Janja

Ni keusi flani, Bado Hakajakuwa Sana So Urefu Wake Ni Wastani. Kembamba Kajanja Janja Flani Hivi Hata Huko Shuleni Kwao Waalimu Wanakakubali Sana Kwa Ujanja Janja.

ILa Kako Smart Mda wote. Physical Appearence
 
madogo hawana siri kabisa.wewe dogo kukupigia simu uniungishe bando ushanitangaza ,nikikupa papuchi si utaweka video kabisa?

Tatizo la kuwapa vitamu watoto hawachelewi kumwaga mastori kijiweni.Papuchi nitunuku Mimi itakuwa siri zaidi ya siri
 
Back
Top Bottom