Yeth lottah
JF-Expert Member
- Dec 7, 2017
- 1,405
- 2,229
Money penny ni kikojozi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
koh koh kohnami nakuunga kukohoa kwao koh koh koh
Duh! Hatari
Katika ubora wake
Yapi?Miss Natafuta ulijichanganya humu wengi wao wanawinda watu ukiwapa tu namba unaanza fatiliwa ogopa Sana haya mabandiko
nauza vitu kwa mawasiliano zaidi njoo pm hapa Kila atakaeenda pm atapewa namba tofauti ili ukimtafuta akugundue
naunganisha vifurushi Njoo pm kwa uduma
natafuta mchumba hapa ndo balaa maana wengi wanajichanganya
ni hayo tu
hahaha[emoji23][emoji28][emoji23]Money penny ni kikojozi
hahaha[emoji23][emoji28][emoji23] aseee
Mkuu mbavu sina[emoji1] [emoji1] [emoji1]
My libs [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
The boldOtea huyu ni nani?
![]()
Khaaa... Mi simo!The bold
My libs [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Point of correction "ahsante[emoji120]Naomba niongeze cheko lako......
"Your ribs".....
Nyani ngabu[emoji87] [emoji87]Otea huyu ni nani?
![]()