Navuta picha baadhi ya member humu JF watafananaje siku nikikutana nao

Navuta picha baadhi ya member humu JF watafananaje siku nikikutana nao

5. Joseverest

Huyu ni Mwembamba, Mrefu Flani hivi, Ana Nyoa Nywele Kawaida Yani Hana Madoido Kwenye Hair Cutting, Mwembamba, Anavaa Suruali za Kitambaa Na Mashati Yakuchomekea Kwa Sana Plus Open Shoes. Ni Muongeaji Sana
Go back to school dude....sipo hivyo
 
Back
Top Bottom