Gordita
JF-Expert Member
- Nov 4, 2013
- 11,564
- 55,570
Naunga mkono hoja[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Huku sijaona mtu anayeongelea mambo ya kula kula sana, wengi naona wanaongelea migegedo na siasa za wenye frustration
Kwahiyo nina assume wengi huku ni wembamba tu, hakuna charinenee kama mimi.