Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Namtaniaa tu banaDina vipi tena Mpenzi mbona Povu.? Madogo Wanazingua eehh
Unatype kuhusu mimi tokea jana ama?Tangia Jana Hadi Saivi Na type Jinsi Ulivyo. Yanakuja Hapa Soon
hahaa kumbe ..basiii sawaNi Kweli Mkuu. Hata yeye Amekubali hilo[emoji2] [emoji2]
Whats so special?Ndiyo wewe
Haya nasubiriaaWewe Subilia Gazeti Hapa
Inawezekana ukawa sahihi ama laa.Ila inaweza pia kuwa sababu najitosheleza kwenye social life yangu,naweza kutengeneza marafiki,washirika na connections in real life bila kuhitaji msaada wa JF ama mitandao ya kijamii.nipo humu kupiga soga,kujadili na kujifunza mapya.hayo tu.Kama huna sura mbaya basi ni masikini mkubwa mno
Ngoja nimwambie huyu anipige pichaTuone Tumbo Lako mkuu
Nami natamani nikufahamu rafikiKoh koh koh