Navuta picha baadhi ya member humu JF watafananaje siku nikikutana nao

Navuta picha baadhi ya member humu JF watafananaje siku nikikutana nao

Kiufupi Wengi Humu Hatujuani.

Najaribu Kuvuta Picha Tu Baadhi Ya Member Humu WaTafananaje Siku Nikikutana Nao.

1. The Bold

Huyu Jamaa Kwa Story Zake Humu Jf Nahisi Ni Mshikaji Tu wala Siyo Mtu Mzima, Ni 35's+ yrs. Pure Black Kama Mrundi, Mrefu Mwembamba Na Anapenda Kuvaa Black Glass Na Akitembea Ni Kama Robot Hageuki Nyuma.

2. Demmis

Najaribu Kuwaza Huyu Mdada Siku Nikikutana nae. Ni Mrefu Flani, Kibonge Kiasi Flani, Anatembea Kwa Mapozi,Mweupe Anapenda Pigo za Suruari Za Jeans. Ni charming Na Ni Mshikaji Sana

3. Sky Eclat

Huyu Ni Mdada Wa Makamo Hivi She is About To go 40's. Soft Black Coloured, Mrefu, Mwembamba Wa wastani, Anapenda Kuvaa Wigi La Kujiachia.

4. Putin Vladimirovich

Kama Kawaida Trump Na Putin Ni Mahasimu Ulimwengu Unalijua Hilo. Huyu Rafiki Atakuwa Siyo Mrefu Wala Mfupi Ni Wastani Tu. He is 35's+ Mweusi Tii, Vimacho Vimeingia Ndani. Ni Mtu Wakuchomekea Suruari Kama Dingi Flani iLa Yuko Peace Na Washikaji.
a8a3dd0ef4ec766feb9099caa0e5593a.jpg

Fikilia Watatu Humu JF Elezea Watafananaje Siku Ukikutana Nao
Hahaha aisee
 
Mimi namchora @Mzigu90 kichwani namuona ni mdada flani hivi 25+ yrs si mrefu wala mfupi yupo kati thn sio mnene wala mwembaba maji ya kunde mwenye shepu kimtindo
Ila muongeaji sana lakini mtu wa kupenda luxury life
 
@mzigua90 njoo huku
 
The bold mbona hajifichi picha yake anaiweka wazi yeye na mkewe na mwanae wa kike
 
Back
Top Bottom