Navuta picha baadhi ya member humu JF watafananaje siku nikikutana nao

hahaaaa hiii scenario yako bhana...
nimeceka mnooo hiyo aya inayomuhusu the bold

eti akitembea kama roboti huwa haangalii nyuma
 
hahaaaa hiii scenario yako bhana...
nimeceka mnooo hiyo aya inayomuhusu the bold

eti akitembea kama roboti huwa haangalii nyuma
Ni Kweli Mkuu. Hata yeye Amekubali hilo[emoji2] [emoji2]
 
Mi ngoja nijielezeee,,,mwembamba ila Nina tumbo kubwa sana,,mweusi nanyoa,,,mfupiiii,,flat screen
 
Kama huna sura mbaya basi ni masikini mkubwa mno
Inawezekana ukawa sahihi ama laa.Ila inaweza pia kuwa sababu najitosheleza kwenye social life yangu,naweza kutengeneza marafiki,washirika na connections in real life bila kuhitaji msaada wa JF ama mitandao ya kijamii.nipo humu kupiga soga,kujadili na kujifunza mapya.hayo tu.
 
Mtu flani hivi : anapenda viatu vya mchumchumio, sometime kiremba kichwani, mwembamba, mweupe,asipoweka mawe ama vitu vizito mfukoni mwake au kwenye mkoba anaweza peperushwa na upepo..!!!! natania tu wakuu
 
Nani huyo mshana?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…