Joseverest
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 52,812
- 71,392
Jeans cadet Pensi umesahau[emoji56] [emoji56] [emoji56]Jose ww ni MTU Wa suruari za kitambaaa
Ni yule nanii utamjua siku moja tuHahahahahahaha nani huyo
HahahahWewe kama unavaa jinsi ni zile panaaa. Kama mfuko Wa maashine za kukobolea.
subiriaNani huyo nawewe mkuu. Si umtaje tu
Ila huyu Mshana ni maarufu aise,kuna jamaa alniona naingia jamii forum akaniulza unamoata mshana?tukaishia kucheka tuAngekuwa mshana jr wala asingekosea kitu yeye ni ramli tu anashusha mpka email za member humu
Hivi ww miss bado unatafutaga tu?madogo hawana siri kabisa.wewe dogo kukupigia simu uniungishe bando ushanitangaza ,nikikupa papuchi si utaweka video kabisa?
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] mkuu kijij kizima kikiwa na mchawi mmoja anatosha kabisaIla huyu Mshana ni maarufu aise,kuna jamaa alniona naingia jamii forum akaniulza unamoata mshana?tukaishia kucheka tu
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Hahaha aiseeKiufupi Wengi Humu Hatujuani.
Najaribu Kuvuta Picha Tu Baadhi Ya Member Humu WaTafananaje Siku Nikikutana Nao.
1. The Bold
Huyu Jamaa Kwa Story Zake Humu Jf Nahisi Ni Mshikaji Tu wala Siyo Mtu Mzima, Ni 35's+ yrs. Pure Black Kama Mrundi, Mrefu Mwembamba Na Anapenda Kuvaa Black Glass Na Akitembea Ni Kama Robot Hageuki Nyuma.
2. Demmis
Najaribu Kuwaza Huyu Mdada Siku Nikikutana nae. Ni Mrefu Flani, Kibonge Kiasi Flani, Anatembea Kwa Mapozi,Mweupe Anapenda Pigo za Suruari Za Jeans. Ni charming Na Ni Mshikaji Sana
3. Sky Eclat
Huyu Ni Mdada Wa Makamo Hivi She is About To go 40's. Soft Black Coloured, Mrefu, Mwembamba Wa wastani, Anapenda Kuvaa Wigi La Kujiachia.
4. Putin Vladimirovich
Kama Kawaida Trump Na Putin Ni Mahasimu Ulimwengu Unalijua Hilo. Huyu Rafiki Atakuwa Siyo Mrefu Wala Mfupi Ni Wastani Tu. He is 35's+ Mweusi Tii, Vimacho Vimeingia Ndani. Ni Mtu Wakuchomekea Suruari Kama Dingi Flani iLa Yuko Peace Na Washikaji.
Fikilia Watatu Humu JF Elezea Watafananaje Siku Ukikutana Nao
@mzigua90 njoo hukuMimi namchora @Mzigu90 kichwani namuona ni mdada flani hivi 25+ yrs si mrefu wala mfupi yupo kati thn sio mnene wala mwembaba maji ya kunde mwenye shepu kimtindo
Ila muongeaji sana lakini mtu wa kupenda luxury life
Uko kwenye group lake LA whasap cc member wake huwa anatupa pia siwezi Ku appload bila idhini yake ila pia mke wake ni member maarufu humuIko Wapi mkuu.. Itupie hapa