Joshua Mbezi
JF-Expert Member
- Oct 18, 2024
- 1,994
- 4,446
Katika ukanda wa Africa mashariki yawezekana kwa sasa the best president ni hyu Paul kagame
Jamaa ametulia na anajua anachokifanya hapayupayuki hovyo
Sera zake zimejikita katika Rwanda kwanza na ndio maana yupo radhi kuiba nchi jiran ili akajenge kwake Rwanda
Maendeleo ya Rwanda kila mtu anayeenda anarudi anasimulia ni kwamba jamaa ametengeneza nchi yake kila mtu anakili Hilo ustaarabu wa watu wake unaonekana wazi kwa kila wanalofanya
Jamaa ametulia hana muda wa kutengeneza kiki mitandaoni kama walivyo wengine , amejenga nidhamu na elimu ya watoto wake sitoshangaa kuona mwanae anachukua madaraka iwapo jamaa ata pass like a shadow
Tangu nianze kufuatilia mambo ya siasa sijawahi kusikia skendo yoyote ya kumhusu jamaa Wala mtoto wake watu wote nchini wapo kufanya kazi sio porojo na ngonjera kila siku mitandaoni
Jamaa amefanikiwa kuitangaza nchi yake Hadi mataifa ya mbali huko ufaransa, UK ,German, USA nchi yake inajulkana vzr
Utawala wa Trump unajaribu kumuwekea vikwazo vya hapa na pale lkn jamaa ndo kwanza hana muda wa kujitetea mitandon😂
Viongozi wengine waige kwake