Proved
JF-Expert Member
- Sep 10, 2018
- 37,333
- 50,241
Wanapenda benevolent dictatorship..Hilo ni tatizo ambalo wengi hawalioni, na pengine wanalipenda.
Wanapenda benevolent dictatorship..Hilo ni tatizo ambalo wengi hawalioni, na pengine wanalipenda.
Benevolent dictatorship is an oxymoron.Wanapenda benevolent dictatorship..
Kagame anaonekana benevolent kwa alipoitoaRwanda mpaka Sasa.Benevolent dictatorship is an oxymoron.
The very state of dictatorship is not benevolent.
Key word anaonekana.Kagame anaonekana benevolent kwa alipoitoaRwanda mpaka Sasa.
Yap!...Kuna raia wanaamini demokrasia imefeli Africa, hivyo watu kama kina Kagame,JPM (Rip) ndio wanahitajika kuleta maendeleo kwa hizi nchi za Dunia ya Tatu..Kwy wird anaonekana.
Kwa wapinzani wake alivyowaua kwa kuwawinda mpaka nje ya Rwanda na kuminya uhuru ndani si benevolent.
Tatizo Waafrika wengi wanaridhika kirahisi.
Hao raia wakiambiwa wauawe ili kuleta maendeleo kwani demokrasia (utawala bora, haki za binadamu etc) imefeli Affica, watakubali kuuawa?Yap!...Kuna raia wanaamini demokrasia imefeli Africa, hivyo watu kama kina Kagame,JPM (Rip) ndio wanahitajika kuleta maendeleo kwa hizi nchi za Dunia ya Tatu..
Tatizo hata kwenye hiyo michakato inayoitwa demokrasia watu pia huuawa mfano ni October 29,2025 hapa Tz.Hao raia wakiambiwa wauawe ili kuleta maendeleo kwani demokrasia (utawala bora, haki za binadamu etc) imefeli Affica, watakubali kuuawa?
Sasa hapo huoni hivyo ni sawa na kusema hata mahakamani wasio na hatia hufungwa kimakisa, kwa hiyo tuvunje mifumo ya kimahakama?Tatizo hata kwenye hiyo michakato inayoitwa demokrasia watu pia huuawa mfano ni October 29,2025 hapa Tz.
Huku Africa ukitaja neno demokrasia watu wanaamini ni Uchaguzi tu , Kumbe hicho ni moja wapo tu ya vipengele vya demokrasia.Sasa hapo huoni hivyo ni sawa na kusema hata mahakamani wasio na hatia hufungwa kimakisa, kwa hiyo tuvunje mifumo ya kimahakama?
Watu wameuawa October 29 kwa sababu misingi ya demokrasia imevunjwa.
Tukishikilia misingi ya demokrasia na kuifanyia kazi, hakutakuwa na matatizo kama ya October 29.
Tatizo la Waafrika wengi hawataki kuchukua ownership ya nchi zao, hawataki kushiriki kwenye demokrasia, hawataki kuwa tayari kutoa maisha yao ili mambo yabadilike.
Hii attitude inatakiwa kuwapo ili demokrasia ifanye kazi.
Serbia juzi rais kajiuzuku kwa sababu wananchi wameandamana kumpinga.
Africa wananchi wanakubali tu demokrasia haifanyi kazi kwa hiyo tuwe na dikteta.
Demokrasia haifanyi kazi maana yaje nini? Maana yake wewe mwananchi umeshindwa kufanya demokrasia ifanye kazi.
Na hili maana yake nini? Maana yake umekubali kutawaliwa kidikteta.
So maybe they are right. They deserve bad leadership.
Kwa sababu kukubali uongozi mbovu nako ni aina moja ya demokrasia.
Kibaya zaidi hata huo uchaguzi wenyewe hauzingatiwi.Huku Africa ukitaja neno demokrasia watu wanaamini ni Uchaguzi tu , Kumbe hicho ni moja wapo tu ya vipengele vya demokrasia.
Ndio maana hata walioshinda kwa hiyo demokrasia wanakanyaga katiba, wanavunja Sheria na kufungia hata vyama vingine vya siasa hata uwajibikaji mwingine hakuna kabisa.
Kalale...nyie ndiyo wale wanaopenda kutawaliwa na siyo kuongozwa.kwa uwezo huu mdogo wa kuelewa mambo ulionao nitakuwa napigia mbuzi gitaa maana huwezi nielewa acha nikuache...
Kelele za chura aka chadema haziwezi kumzuia tembo aka "serekale" kuleta maendeleo.Umesahau jambo Moja tu; nalo ni kutujulisha kuwa ameweza hayo sababu amefanikiwa kuzuia kelele za king3s3 kupitia huu ujinga unaoitwa demokrasia. Nakuapia angeacha jamii ya watu kama lissu, heche, kitima, lema and the like watambe kule kwake basi kamwe asingeyafikia maendeleo Yale......muda wake wote angeutumia kupigishana makelele tu na hao jamaa kama inavyotokea Huku kwetu.
Umenena mkuuKelele za chura aka chadema haziwezi kumzuia tembo aka "serekale" kuleta maendeleo.
Mtu hajui maana ya maendeleo au mipango au mikakati au dira au taratibu za mandeleo. Unategemea alete mandeleo?
Halafu serekale haileti maendeleo, maendeleo yanaletwa na watu.
Huna akili wewe matusi TU ndo yamejaa kichwaniKenge pumbavu Moja kubwa we, usiseme tumuulize Gaddafi, tuambie tuulize Hali ilivyo Libya baada ya Gaddafi tumbili mkubwa we. Nenda kapigwe tone tone huko fala we!!