Afisa Mteule Drj 2
JF-Expert Member
- Mar 21, 2017
- 3,865
- 4,506
uchocheziUnatafuta ban weyeee!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
uchocheziUnatafuta ban weyeee!
Mhhh! Joseverest kalala
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji377] [emoji377] [emoji377] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Nifah pita hku hongera kwa masifa kedekede; jamni kupendwa raha tukubali tu!!!
Mhhh! Joseverest kalala
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji377] [emoji377] [emoji377] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Habari bila picha hainogi kabisa..
BTW nakukumbusha tu chunga sana marinda yako yasidukuliwe maana unasifia mke wa mtu..
una mahaba mazito hadi kuanzishiana uzi
Uzi usopocha ni kama hewa ya ukaa ama ramli chonganishi.
Unatafuta ban weyeee!
Wee bana mtu yuko kalala saa hizi na mmewe unamuwaza na kumwanzishia thread saa 9 usiku[emoji23]
Mfuate PM umpelekee maelezo yako yote,,,,,,
Nifah pita hku hongera kwa masifa kedekede; jamni kupendwa raha tukubali tu!!!
mbona umezunguka sana mkuu omba game piga pita [emoji117][emoji117][emoji117] baada ya hapo udakwe wakutoe marinda afu uje ulete mrejesho sio unasema unampenda eti sio kimapenzi kwani ni MAMAKO AU DADAKO HUYO be straight forward mkuu.Wakuu habari za majukumu.Mimi bwana ni mchunguliaji wa jf toka zamani sana nilikua guest tuu kusoma thread za watu basi..Basi tangu nimeijua jf nikajikuta navutiwa sana na bibie Nifah.
KWANINI ALINIVUTIA?
Cha kwanza Nifah alinivutia(sio kimapenzi)kutokana na kushabikia vitu ninavyopenda tena kwa kiwango cha juu..kuanza tukianza kuipenda yanga kumpenda kiba lowasa na Madrid vyote ivyo Mimi nimoo
Nikajikuta navutiwa nae tuu alivyokua anapambana kwa kiwango cha juu kwenye ishu za lowasa kiba na yanga.Nikajikuta natamani sana kumfahamu kwa sura ingawa sikujua atakua kama nilivyomuona...
asee nilikua nafuatilia kila comment yake au post nakumbuka kuna mdau alianzishaga Uzi MMU unaosema mtaje mtu unayempenda humu jf imepita miaka miwili au mmoja nusu bibie akamtaja MTU kwa sifa zake(Nadhani alikua the bold) basi akatokea mbeba box nyAni ngabu walitemeana sana shudu(NIFAH BISHA)
Shauku ya kutaka kumfahamu ikazd.siku zikaenda hatimaye mwaka huu nikaja kua memba rasmi nikaanza kumtafuta bana(SIJAWAI MFUATA PM wala kuchitchat nae popote pale)
Mungu sio paul makonda nikaja kumpata huko kwa akina wema sepetu...nikamfollow fasta akaniaccept si kupoteza muda nikazama na mapicha.JAMANI NIFAH ni kisu nyie mtoto flani white kapanda hewani ana macho flani ya Julia
Nifah hatimaye nikakufahamu kwa sura kabla ya hapo nilikuchukulia utakua mbovu manake mademu wenye akili wengi ni WABOVU kama Mimi kumbe tofauti ww ni PINI aloo
Nifah Mimi ni follwer wako napitaga kule kila siku nione umepost nini kipyaa teh teh teh Mara ya mwisho umepost kihindi hind and ur waiting for somebody
kwa kweli nimeweza kuua ndege wawili kwa jiwe moja kwani nimeweza kumfahamu na the bold umepost kama picha mbili..anaonekana very cool and decent na jez yake ya Madrid hahahaha..
Ni hyo tuu bibie Mimi shabiki wako na Leo nimekuona kwa mange kule unasubiri her comeback hahHHHHahh
NAKUTAKIA MAFANIKIO MEMA KWA KILA HATUA YA MAISHA YAKO NA BROTHER THE BOLD.....
ndimi mfukunyuk
Gerald maajabu