popoma
JF-Expert Member
- May 5, 2017
- 2,378
- 3,363
Mzee wa mipira iliyokufaTeh..teehh...teeehhhh....[emoji12] [emoji12] [emoji12]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mzee wa mipira iliyokufaTeh..teehh...teeehhhh....[emoji12] [emoji12] [emoji12]
ok poamkuu thread ina uhusiano na jinsia....halafu ww ukiwaga wa katikati kucomment huaga unachanganikiwa......
Nifah anatumia jina gani insta nika mfollow aiseeee...
[emoji3][emoji3]Habari bila picha hainogi kabisa..
BTW nakukumbusha tu chunga sana marinda yako yasidukuliwe maana unasifia mke wa mtu..
Hahaaa.."......nikakufahamu kwa sura kabla ya hapo nilikuchukulia utakua mbovu manake mademu wenye akili wengi ni WABOVU kama MIMI kumbe tofauti ww ni PINI aloo"
Mkuu samahani wewe ni ME au KE???
Raha sana jpo yahitaji moyo maana kunawatu wameumbwa na chokochoko aiseee [emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4]Aaaaah nipe ridhaa mm nibebe zigo hilo Unajua Jf ukipata akupendae raha sana..
Haaa haaa
Nimependa jinsi unavyoanzia mbali but pambana utafanikiwa
Hamna namna itabidi uwaoe haohao wachinaThe Bold Tatizo Ni Favourite Of The King. Mie Napigana Na Wachina Huku *****. [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Sent from my HUAWEI Y530-U00 using JamiiForums mobile app
Ishi maisha yako,fanya ukipendacho na usijali watu watanisema vp, maneno ya watu yasikuumize bibie..Raha sana jpo yahitaji moyo maana kunawatu wameumbwa na chokochoko aiseee [emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4]
"mimi sikuambiwa na mtu nilihangaika mpaka nikampata" na papuchi vepe amekupa?utabaki kusifia mademu za watu tuuuuuuuuuu!!! tafuta wa kwako mkuu au mtongoze tu manake hamna mkate mgumu mbele ya chai?? ( nawaza kwa sauti tu)braza hangaika utampata....Mimi ikuambiwa na mtu nilihangaika mpaka nikampata hhahhaha....
"mimi sikuambiwa na mtu nilihangaika mpaka nikampata" na papuchi vepe amekupa?utabaki kusifia mademu za watu tuuuuuuuuuu!!! tafuta wa kwako mkuu au mtongoze tu manake hamna mkate mgumu mbele ya chai?? ( nawaza kwa sauti tu)