Navutiwa sana na Nifah

Navutiwa sana na Nifah

"......nikakufahamu kwa sura kabla ya hapo nilikuchukulia utakua mbovu manake mademu wenye akili wengi ni WABOVU kama MIMI kumbe tofauti ww ni PINI aloo"

Mkuu samahani wewe ni ME au KE???
Hahaaa..

Atakuwa Ke huyu..!
 
My Genetic ww unaishi kwa kuangalia watu wanakuangalia vp
Raha sana jpo yahitaji moyo maana kunawatu wameumbwa na chokochoko aiseee [emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4]
Ishi maisha yako,fanya ukipendacho na usijali watu watanisema vp, maneno ya watu yasikuumize bibie..
 
braza hangaika utampata....Mimi ikuambiwa na mtu nilihangaika mpaka nikampata hhahhaha....
"mimi sikuambiwa na mtu nilihangaika mpaka nikampata" na papuchi vepe amekupa?utabaki kusifia mademu za watu tuuuuuuuuuu!!! tafuta wa kwako mkuu au mtongoze tu manake hamna mkate mgumu mbele ya chai?? ( nawaza kwa sauti tu)
 
hakunipa mkuu...mbona umemaindi nipe ww basi
 
Back
Top Bottom