Lovelovie
JF-Expert Member
- Oct 2, 2021
- 12,582
- 26,053
Oooh sawa ccy naombeni uhusika kwenye hiyo Isidingo plz.Ndiwooo sis isidingo make kuna wahusika wanakufa na wengine wanazaliwa upyaaa yanii🤠!
Nalima sis na kilimo kinanipausha balaaaa kama unavoonaa 🤣!
Naona wa so called wa mujini mnahahaa na wasiokuwa na muda nanyie Sio kidogoooooo!
Cc Smart911
Kunakupausha sana ccy maan haiwezakani upauke alafu sis
born town ma sistaa duu tukugwaye.
Sema ccy mpumbavu muache aongee muache aseme, ww jibu lako moja silaha yako moja ukimya.
Fikilia hizi mvua hili baridi mtu anakesha kasimama barabarani usiku anaota jua.