Ukweli hawa jamaa wamekuwa kama Maksai au Ng'ombe waliohasiwa. Ngombe akihasiwa bwana huwezi kumkuta kule mbele wala pembeni ya kundi anakuwa tu katikati anachanganyika na majike na ndama. Hatari tupu!
Dr. Bashiru kwa sasa hata hiyo title ya kuanza na Udaktari hana hamu nayo. Sidhani kama anaweza kuchangia hoja bungeni - kama mpole na anatia huruma kwa kweli. Yaani sijui Mama aliadivaisiwa na nani amfanye hivi Bashiru.
Enzi zile umseme Mwendazake halafu ukutane na maelekezo ya Bashiru kukushughulikia - mbona ilikwa balaaa.
Polepole hata marafiki zake - makundi ya vijana yakawa ayanamwogopa - yaani.
Hawa wote anangalau wangekuwa waliwekwa kwenye nafasi hizo na wananchi wangeweza kupumua - sasa wapo bungeni kwa huruma ya Rais - waseme nini sasa - koro.. zimezamia ndani hadi wanatia huruma.
Mwendazake anasemwa weeeeeeeeeeee hawa wapo kimya tu - wanagugumia kichinichini. Dkt. Bashiru alivyonyanyasa akina Membe, Kinana, Makamba n.k sijui kwa sasa wanajionanaje?
hivi Bashiru avuliwe ubunge na hizo Ml 11 ambazo anazikamata kwa mwezi now arudishwe kwenye ml 3 yake ya UD hivi atakuwa katika hali gani? Kumbuka huyu hakujua hata kufanya biashara! Ndiyo maana tunawadharau sana wasomi kwa sasa.
Pyuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu!