Salaam, shalom!
Nimesikia kauli ya mbunge mmoja akitamka kauli ya hatari mbele ya viongozi wake wa chama na mbele ya umati wa wananchi waliohudhuria mkutano huo wa hadhara.
Amesema hadharani kuwa, chaguzi zijazo 2024&2025, hapatakuwa na DEMOKRASIA. Kauli hii Kwa kuwa haikukanushwa na viongozi wake wakuu wa chama, ni dhahiri kuwa wamepanga kuendelea hujuma ya 2019&2020.
Kwa kuwa Yupo Mungu katika Nchi hii ya Tanzania, Kwa UMOJA wetu tumwombe awatume Malaika wake wa NURU, wenye panga zenye makali kuwili Ili waje kushughulika na wote watakaojaribu kupora HAKI yetu ya msingi ya kuchagua na kuchaguliwa.
Tujitokeze Kwa wingi kudai Tume huru ya uchaguzi na Katiba mpya KABLA ya UCHAGUZI wowote, Kisha tujitokeze kupiga kura na kuhakikisha HAKI inatendeka.
Wote tuseme Aaamin!!
Mungu ibariki Nchi yangu nzuri niipendayo TANZANIA 🇹🇿.
Karibuni🙏