- Thread starter
- #21
Kweli ndugu,Kupiga kura ni haki yangu lkn kuanzia sasa kura yangu sitaipoteza kindezi hivi😂😂😂
Si kupiga kura tu,
Tumemwomba Mungu uchaguzi huu aingilie,
Kama una uwezo kiuongozi, gombea, nenda Kwa viongozi wako kiroho, wakubariki, Kisha gombea.
Kuruhusu viongozi wasio na uwezo kupita halafu tunakuja kulalamika Si sawa.
Usihofu, utashinda bila Kutoa RUSHWA, uwe na moyo mkuu.
Ubarikiwe.