Pre GE2025 Nawaalika Malaika kuja kusimamia Haki katika chaguzi zetu 2024 na 2025

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kupiga kura ni haki yangu lkn kuanzia sasa kura yangu sitaipoteza kindezi hivi๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Kweli ndugu,

Si kupiga kura tu,

Tumemwomba Mungu uchaguzi huu aingilie,

Kama una uwezo kiuongozi, gombea, nenda Kwa viongozi wako kiroho, wakubariki, Kisha gombea.

Kuruhusu viongozi wasio na uwezo kupita halafu tunakuja kulalamika Si sawa.

Usihofu, utashinda bila Kutoa RUSHWA, uwe na moyo mkuu.

Ubarikiwe.
 
Ameeen๐Ÿ™nawezaje kugombea ikiwa rushwa imetawala zaidi mtaani kwa kila sector
 
Ameeen๐Ÿ™nawezaje kugombea ikiwa rushwa imetawala zaidi mtaani kwa kila sector
Imeandikwa,

"Mwenye HAKI wangu, ataishi Kwa Imani."

Mwombe MUNGU akupe kuzungukwa na mvuto na upendo wa ki MUNGU.

Kwa asili, Kodi zote ambazo zinaendesha Nchi, hulipwa na wananchi,

Hivyo basi, kuwahonga wananchi Ili wakuchague ni dharau kubwa.

Wananchi ndio wanatakiwa wakuchangie na kusupport gharama zako zote za mikutano na shughuli zingine.

Na Ili wakuchangie, lazima uwaulize changamoto zao, Kisha uwasaidie njia ya kupata ufumbuzi, ukifanya hivyo, watashawishika kukutuma uwaongoze.

Omba MUNGU akupe akili na Maarifa na ujasiri wa kujibu na kuongoza watu, MUNGU atakupa.

MUNGU akubariki.
 
Ndani ya wiki mbili tu baada ya kuandika thread hii,

Tayari Malaika wameshaanza kujitokeza na kusema wazi, watakuwepo kuhakikisha wanauangalia uchaguzi wa 2024&2025.

Malaika Jamila, Mrs Madeleka ametoka Kutoa angalizo akiwaarifu Makamba, Bashe,RC wa Arusha kujiuzulu, wameonya pia Sanduku la kura liheshimiwe.

Tusubiri.
 
HATA WAKIJA MALAIKI WATAIBIWA KURA TU NA CCM
 
Wenyeviti wa mitaa wanakusanywa Kwa kificho Kwa KAZI maalum,

Sumu haionjwi, kugusa au kujaribu kupotoa HAKI, kuhujumu Sanduku la kura time hii ni sawa na kuramba nyaya za umeme mkubwa wa gridi ya Taifa.

Tusubiri!!
 
Nape ameshajitokeza mapema kabisa, yu mikononi mwenu.

Alipwe anachostahili.
 
Rais wao atakuwepo?
 
(Kutoka 14:14)
BWANA atawapigania ninyi, nanyi mtanyamaza kimya.

Waliojipanga kunajisi Sanduku la kura wajiandae na yajayo.

Tusubiri.
 
Isaya 50:11
 
Isaya 50:11
(Isaya 50:11).

Lakini ninyi mnawasha moto,na kujifanyia silaha za moto, na kujifanyia mienge, tembeeni Kwa mwanga wa moto huo, miali ya moto mliowasha ninyi wenyewe.

Mtakachopata Kutoka Kwa Mwenyezi Mungu ni hiki: Ninyi mtalala chini na mateso makali.

Mwisho wa kunukuu.



Risasi hazikumuua TUNDU Lissu, Sativa na Donald Trump.

Mkaao vikao vya Siri kuwapangia mabaya wenye HAKI,

Jueni kuwa this time around mtajiliwa.

So many will die.

Tusubiri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ