Nawaalika warembo wa kula nao bata

Aliniambia nijiandae twende vocation akitua tu Tz tutaenda kula bata,
Nikasubiri wee kumbe jamaa alikua Tegeta nyuki
Hahaha,nimecheka sana!

Kwani Mkuu we cha muhimu si vacation tu,bila kujali anatoka tegeta nyuki au US
 
Mkuu usisahau kumualika na Sizonje aje kula bata atafurahia pia kuona totos za kumwaga.
[emoji12][emoji39]

Anavyopenda chini yule mzinza ataniibia hadi mke wangu simuiti ng’ooo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Reactions: BAK
Hahahahaha lol! Anaweza akakupa ubalozi pale DC na mkeo akampa uwaziri kwenye wizara nyeti ili amfaidi vizuri.

Anavyopenda chini yule mzinza ataniibia hadi mke wangu simuiti ng’ooo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Sasa hapo Tegeta nyuki hawezi enda fanya vacation? Vacation hata wewe ukiwa tandale unaweza kuifanya kokote kule kikubwa pochi tu mama!!

Hujaelewa!
Alikua anajifanya yupo abroad na na namba ilikua ya nje kweli
Hivyo nilikua nafanya maandalizi ya kumpokea foreigner tukale bata
Mungu siyo Aisha
Siri ikafichuka
 
Aliniambia nijiandae twende vocation akitua tu Tz tutaenda kula bata,
Nikasubiri wee kumbe jamaa alikua Tegeta nyuki
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] daah mechekaa
 
Hujaelewa!
Alikua anajifanya yupo abroad na na namba ilikua ya nje kweli
Hivyo nilikua nafanya maandalizi ya kumpokea foreigner tukale bata
Mungu siyo Aisha
Siri ikafichuka

Huyo alikua mshamba Coz kujifanya ni foreigner hakukufanyi uonekane bold.... Coz kuna watanzania wengi tu huko nyumbani wanatuzidi maisha watu wa huku. Maana huku unapata kile tu unachostahili hakuna kingine. Binafsi natamani sana life la nyumbani.
 
Hapa aitwe mikwara ya andunje nae ateme cheche... 😁😁
 
Si umesema waje warembo, mimi sio mrembo nakujaje
Teh teh umenikumbusha ule uzi jamaa anapagawa na avatar yako, sasa kama avatar tu inapagawisha wewe je? Halafu mie mwanamke yeyote kwangu ni mrembo.
 
Teh teh umenikumbusha ule uzi jamaa anapagawa na avatar yako, sasa kama avatar tu inapagawisha wewe je? Halafu mie mwanamke yeyote kwangu ni mrembo.
Haha yule ana matatizo yani anamaliza sabuni na avatar hii wenzie huwa wanamalizia kwenye chura
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…