Binti wa zamani
Platinum Member
- Nov 19, 2011
- 15,052
- 36,866
Mkiwafikia wazee waliofungiliwa account za Tiktok na watoto wao mniambie!Yanajifanya hayapo Facebook ila JamiiForums ndio kuna members wengi ambao wapo Facebook 😅
Ila ukiyaangaalia hapa yanajifanya majanja , kuwa hayapo fb 🤣
Kumbe ni mambigwa ya fb tu kama sisi tu😅