Nawaangalia members wa JF tu🀣🀣

Ila watumiaji wa fb punguzeni kujishtukia. Mtu akisema hatumii mtandao wako pendwa haimaanishi kuwa anajiona ni bora kuliko wewe. Kuna faida gani kutumia kila mtandao kama huna ulazima wa kuwepo huko?
 
Sio 50 tu hata laki mtapigwa hakuna cha buree, uzuri hao wanao wapiga kupitia connection, huwa hawawafati PM kuwauzia au kuwarubuni wawape Connection, si mnajipeleka wenyewee.

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ mtapigwa na kulizwa sanaa hapa JF.
wee si unataka Connection, tema mpunga huo watu waishi nao, watu hawachekeshi, watu hawarembi. Watu hawaachi mapene.

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…