Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nataka wanywe
wafike
member mtakunywa energy
hapana nyie first year nawajuaNiagize mimi nikawachukulie
Nimeamini kweli shetani ananguvu sana...Niagize mimi nikawachukulie
invisible anakunywa hadi ile ya asili na usitake niitaje utanigombanisha na watu
kabisa
invisible anakunywa hadi ile ya asili na usitake niitaje utanigombanisha na watu
Kwani wewe ni Kiduku Liloyule kijana anayevaa na kula vizuri jamii forum nzima nimeamua kuwachapa mods kreti kumi na mbili za bia. nataka mods wanywe, mods wapombeke, mods wale vyombo, wachangamshe ubongo wachangamshe mwili kama kianzio cha mwaka. Kesho nitawasilisha kreti katika ofisi za JF kwa hiyo mods wote naomba uwepo wenu. Sina mengi ya kusema ni hayo tu.
aah wap
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]invisible anakunywa hadi ile ya asili na usitake niitaje utanigombanisha na watu
hapana mi sio kiduku ni kijana tu mwenye makampuni yangu mjini hapaKwani wewe ni Kiduku Lilo
Huyo ndo nasikia anaongoza kula kuvaa na kuendesha magari mazuri JF
Sent using Jamii Forums mobile app
ModeratorCookie ni nani?