Nawachapa Mods kreti kumi na mbili za bia

Nawachapa Mods kreti kumi na mbili za bia

yule kijana anayevaa na kula vizuri jamii forum nzima nimeamua kuwachapa mods kreti kumi na mbili za bia. nataka mods wanywe, mods wapombeke, mods wale vyombo, wachangamshe ubongo wachangamshe mwili kama kianzio cha mwaka. Kesho nitawasilisha kreti katika ofisi za JF kwa hiyo mods wote naomba uwepo wenu. Sina mengi ya kusema ni hayo tu.
Kwani wewe ni Kiduku Lilo
Huyo ndo nasikia anaongoza kula kuvaa na kuendesha magari mazuri JF

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom