wa stendi
JF-Expert Member
- Jul 7, 2016
- 25,190
- 27,434
Bajeti yako haipo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mmmhhhhapana nyie first year nawajua
Hahahahahah
Kwan walev tuna maamuz gankumbe mods n walevi, kumbe kuna baadhi ya maamuzi wanayofanya yanasababishwa na ulevi.
yaaaMods inabidi wale maji ile kiroho mbaya..
Utawaua kwa ulevi msosi muhimu, pesa zenyewe wamemaliza walipie hata kodinataka wanywe
Hallelujah
Daslam joto kali mkuu
Huwajui walevi wewe, hata kama unalala nje mlevi yuko tayari akununulie pombe unywe hadi uoge ila si kukupa hela ukalipe kodi au ununue unga kilo moja
kama haya ya ku-quote koment yang
Kiduku Lilo njoo uone kuna jamaa anajivesha vyeo vyako huku.Ni yule kijana anayevaa na kula vizuri JamiiForums nzima nimeamua kuwachapa mods kreti kumi na mbili za bia.
Nataka mods wanywe, mods wapombeke, mods wale vyombo, wachangamshe ubongo wachangamshe mwili kama kianzio cha mwaka.
Kesho nitawasilisha kreti katika ofisi za JF kwa hiyo mods wote naomba uwepo wenu. Sina mengi ya kusema ni hayo tu.