Nawachapa Mods kreti kumi na mbili za bia

Nawachapa Mods kreti kumi na mbili za bia

Mods inabidi wale maji ile kiroho mbaya..
 
Ni yule kijana anayevaa na kula vizuri JamiiForums nzima nimeamua kuwachapa mods kreti kumi na mbili za bia.

Nataka mods wanywe, mods wapombeke, mods wale vyombo, wachangamshe ubongo wachangamshe mwili kama kianzio cha mwaka.

Kesho nitawasilisha kreti katika ofisi za JF kwa hiyo mods wote naomba uwepo wenu. Sina mengi ya kusema ni hayo tu.
Kiduku Lilo njoo uone kuna jamaa anajivesha vyeo vyako huku.
 
Leo hata umtukane chato master Mara Mia hupigwi ban

Sent from my TECNO LC6 using Tapatalk
 
Back
Top Bottom