Ni Mtanzania? Kama ni Mtanzani usije ukabweteka na kudhani kuwa hajui kama kuna JF. Anaweza asiijue ID yako lakini kudhani kuwa mtu hayupo hapa ni yale yale ya umdhaniaye ndiye kumbe siye.

Ni nini kinachokufanya wewe udhanie kuwa yeye hayupo hapa? Manake kama wewe hujamwambia kuhusu uwepo wako hapa na yeye inaweza ikawa vivyo hivyo. Fikiria!

Nilishafanya uchunguzi wa kina
Kwanini hamna huruma?
Kwanini hamthamini wanawake?
Kwanini hamna heshima na adabu?
Kwanini Hamthamini michango yetu kwenye familia??
Kwanini Mnamadharau?
Kwanini hamjali maumivu msababishayo kwa mkeo?
Kwanini hamjali hisia tulizonazo??
Kwanini mawasiliano mwanamke tu ndo aanze??
KWanini hamjali msaada mnaopewa??
NAWACHUKIA NAWACHUKIA NAWACHUKIA NAWACHUKIA MILELE SIWAPENDI
JF Ingeruhusu matusi nadhani hasira yangu ingeishia hapa leo.............ukoje wewe mwanaume upendweje?? Usaidiweje?? Ujaliweje?
Ngoja nika............oohh gooooshi nilale tu
Mtu asiniulize nini kimenikuta but nimeumizwa vya kutosha today nasema kilichonisibu

Hajui km kuna JF wala ID yangu haijui

A Little Impatience can spoil great plan!!!!!!!!!!!!!!! a little patience can win a great plan! so vumilia kidogo DA. kumbuka falling down doesn't mean being burried!! cool and heal down na kesho is a new day na utaamka fitter and better and your man will be lovelier!! pole kwa leo. usikose kutujuza when you are up and running great, kama kawa'yako!

...hata akijua heri tu, ndio kwanza itamsaidia kujua 'unavyomfikiria ki -upande wa pili wa shilingi!'

Pamoja sama. BTW. Nilifata ushauri wako wa jana
Kwahiyo unatangazia umma tunazo ili.....?!
Hebu njoo huku unisaidie kuhesabu hizi....
Pole sana Dena, hiyo ni wimbi tu linalotokea ktk mahusiano yoyote kikubwa ni KUSAMEHEANA,KUVUMILIANA,KUOMBA MUNGU AKUZIDISHIE UPENDO,HEKIMA,BUSARA NA MOYO WA SUBIRA KTK MAAMUZI YAKO MENGI. Pole sana Dena.
Mamitoo uwe na mipaka ya kuvumilia please, kama ni mara nyingi sana fikiria jipange upya unachokitaka maishani. What a man anachokifanya wich better akupige mangumi ni killing you psychologically, take it as it is with time utajiona huna thamani as human being coz utapoteza kujiamni what will follow is u being his victim for the rest of ur life if hutafika mahali ukaona enough is enough! I remember what my former did to me with my CPA,MBA plus good post in the office was his victim, nilikuwa natembea na moyo wake nikipiga simu hapatikani nakaribia kufa, akiongea na simu nikiwa naye nahisi mademu, mtu akiniudhi tu machozi yananitoka yaani was confident,smart woman lakini aliviondoa vyote, familia ilingilia kati lakini wapi sisikii siambiwi ila haipitiki a week lazima anilize, ikafika wakati huyo mwanamke anamfuta kwake na mm nipo wanaondoka! nilipoona nakaribia kupoteza kazi nikazinduka na kujiondoa taratibu, kila wkt akifanya utumbo will say I m sor na namsamehe fasta, alippona hana cha kusema akawa anasema ' nakupenda sana ila u dont deserve me move on coz nakutesa' So wether ni mume or bf pima kwa kiwango gani unaweza endelea vumilia otherwise MOVE ON! There are good guys out there believe me ambaye will treat you like a LADY