Nawachukia baadhi ya wanaume kuanzia leo

Nawachukia baadhi ya wanaume kuanzia leo

Pole dada lakini haupaswi kulaum hivo kwani wanaume wote ni sawa lakini akili na tabia ni tofauti kabisa. Mi mwenyewe nawachukia sana nyie wanawake nilishafanyiwa vi2ko mpaka leo hii imepita miaka 8 sijafikiria tena kumpenda mwanamke.

aisee...!
kaaz kwel kwel

ngoja nimpigie simu bro aje aisome hii

Do,

Mimi wangu hayupo kabisa katika kundi hili!!!

Lakini jamani, this is too general, kama wanaume wote wangekuwa hivyo basi ingekwua balaa!

However, let us, ladies ask ourselves.... can we do without men?
love us, hate us, we are made for each other!

By the way Dena ,kuna siku mdau Kajuna alitangaza ndoa na weye na kupanga tarehe ya mahari,ndo huyo kakuudhi ?sema ili tumshukie!

Daaah!
Kakuumiza huko home halafu uje kumalizia hasira JF??
Sana sana tutakuona umechanganyikiwa na umeanza kudharau wanaJF
Hata hivyo pole.
Maisha ya mahusiano ni pamoja na kukabiliana na changamoto mbalimbali, hasa matatizo.
Pumzika, lala. Ukiamka hasira zitakuwa zimeshuka then utatafakari vizuri njia ya kutatua tatizo lako
Saa hizi naona una hasira tu, sumu imekujaa mpaka kwenye kucha za miguu
:madgrin::madgrin::madgrin:
Duh sasa na wewe unazidi kumuumiza mwenzio.

Pole sana dada,

Ningependa sana nikupe ushauri, tatizo haya mambo ya mahusiano waweza ubebe kesi isiyo na miguu wala kichwa. Jamaa anaweza kuprint huu ushauri halafu akaanza kukutia makwenzi bure. Naumia kukosa kukupa msaada, lakini basi vumilia ndugu yangu.

Pole sana dada,

Ningependa sana nikupe ushauri, tatizo haya mambo ya mahusiano waweza ubebe kesi isiyo na miguu wala kichwa. Jamaa anaweza kuprint huu ushauri halafu akaanza kukutia makwenzi bure. Naumia kukosa kukupa msaada, lakini basi vumilia ndugu yangu.

Hajui km kuna JF wala ID yangu haijui

Aisee

Nitarudi kesho ngoja nimalize masahibu yangu kwanza.

Hebu njoo huku unisaidie kuhesabu hizi....

attachment.php

Attachments

• Pesa.jpg
Pesa.jpg
38.6 KB · Views: 105

Hajui km kuna JF wala ID yangu haijui

Ni Mtanzania? Kama ni Mtanzani usije ukabweteka na kudhani kuwa hajui kama kuna JF. Anaweza asiijue ID yako lakini kudhani kuwa mtu hayupo hapa ni yale yale ya umdhaniaye ndiye kumbe siye.

Ni nini kinachokufanya wewe udhanie kuwa yeye hayupo hapa? Manake kama wewe hujamwambia kuhusu uwepo wako hapa na yeye inaweza ikawa vivyo hivyo. Fikiria!

Back
Top Bottom