MwanajamiiOne
Platinum Member
- Jul 24, 2008
- 10,470
- 6,580
Sijambo kabisa mpenz habari ya pharmacy??Mumy Hujambo?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sijambo kabisa mpenz habari ya pharmacy??Mumy Hujambo?
Sijambo kabisa mpenz habari ya pharmacy??
Atakuwa pharmacy ya dawa moto maana kwenye dawa baridi huwa kuna baridi.....pole zake mfikishieKaniomba ni mjibie......Joto lakini salama!
love us, hate us, we are made for each other!Do,
Mimi wangu hayupo kabisa katika kundi hili!!!
Lakini jamani, this is too general, kama wanaume wote wangekuwa hivyo basi ingekwua balaa!
However, let us, ladies ask ourselves.... can we do without men?
Duh sasa na wewe unazidi kumuumiza mwenzio.Daaah!
Kakuumiza huko home halafu uje kumalizia hasira JF??
Sana sana tutakuona umechanganyikiwa na umeanza kudharau wanaJF
Hata hivyo pole.
Maisha ya mahusiano ni pamoja na kukabiliana na changamoto mbalimbali, hasa matatizo.
Pumzika, lala. Ukiamka hasira zitakuwa zimeshuka then utatafakari vizuri njia ya kutatua tatizo lako
Saa hizi naona una hasira tu, sumu imekujaa mpaka kwenye kucha za miguu
:madgrin::madgrin::madgrin:

Pole sana dada,

Ningependa sana nikupe ushauri, tatizo haya mambo ya mahusiano waweza ubebe kesi isiyo na miguu wala kichwa. Jamaa anaweza kuprint huu ushauri halafu akaanza kukutia makwenzi bure. Naumia kukosa kukupa msaada, lakini basi vumilia ndugu yangu.
Maty+,
Mbona unasoma tu, hutoi mchango wowote?
Aisee
Nitarudi kesho ngoja nimalize masahibu yangu kwanza.
Hebu njoo huku unisaidie kuhesabu hizi....

Hajui km kuna JF wala ID yangu haijui