Nawachukia baadhi ya wanaume kuanzia leo

Duh....! Pole mamy....! Inaonekana mzee kagawa pipi kwa wengine....! lakini si ilisemekana kizuri kula na mwenzio?
 
Mubaya wewe kula na mwenzako tena???
Ndiyo, kushirikiana ni jambo jema sana mama....! Na hizo hasira zinaletwa na uchoyo.....! So, punguza uchoyo...! Kama wewe huwezi kutoa, kwanini uone ni vibaya kwa wenye kutoa wakitoa?
 
Ndiyo, kushirikiana ni jambo jema sana mama....! Na hizo hasira zinaletwa na uchoyo.....! So, punguza uchoyo...! Kama wewe huwezi kutoa, kwanini uone ni vibaya kwa wenye kutoa wakitoa?

Kuna vya kutokuwa mchoyo lakini ile kitu inamesa mwensake hapana kupeana bana
 
Pole mpenzi nusura unilize. I feel sorry for you
 
Kuna vya kutokuwa mchoyo lakini ile kitu inamesa mwensake hapana kupeana bana

Kumbe...! Tusipeane kile kinachomesa mwensake....! Lakini kinachomeswa si tupeane tu? Kwa sababu kinameswa, then kinatemwa....! Hahahahaha...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…