Nawachukia baadhi ya wanaume kuanzia leo

Nawachukia baadhi ya wanaume kuanzia leo

Kama vipi nitukane tu, ikibidi nichukie.
Lakin niliyokueleza ndio msingi wa kuishi na watu vizuri

Siondoki, sitaondoka na wala sina mpango wa kuondoka ktk hii thread
Hasira gani hizo we mdada??? Heeeee!!
Huwezi hata kujishusha??
CPU shughuli ya retirement celebration ya dad , by the way,ilikwendaje? naomba uniPM unijuze kijana wangu if you do not mind.
 
Auntie bado una hasira? Kama bado unazo na kama unajisikia kumbamiza mtu vibao basi kanunue blow up doll, nunua la kiume, halafu lijaze upepo na jifungie nalo chumbani halafu libamize kisawasawa. Nakwambia ukimaliza kufanya hivyo utasikia ahueni sana.
 
Pole sana Dena, hiyo ni wimbi tu linalotokea ktk mahusiano yoyote kikubwa ni KUSAMEHEANA,KUVUMILIANA,KUOMBA MUNGU AKUZIDISHIE UPENDO,HEKIMA,BUSARA NA MOYO WA SUBIRA KTK MAAMUZI YAKO MENGI. Pole sana Dena.
 
Kwanini hamna huruma?
Kwanini hamthamini wanawake?
Kwanini hamna heshima na adabu?
Kwanini Hamthamini michango yetu kwenye familia??
Kwanini Mnamadharau?
Kwanini hamjali maumivu msababishayo kwa mkeo?
Kwanini hamjali hisia tulizonazo??
Kwanini mawasiliano mwanamke tu ndo aanze??
KWanini hamjali msaada mnaopewa??

NAWACHUKIA NAWACHUKIA NAWACHUKIA NAWACHUKIA MILELE SIWAPENDI

JF Ingeruhusu matusi nadhani hasira yangu ingeishia hapa leo.............ukoje wewe mwanaume upendweje?? Usaidiweje?? Ujaliweje?

Ngoja nika............oohh gooooshi nilale tu
Mtu asiniulize nini kimenikuta but nimeumizwa vya kutosha today nasema kilichonisibu

Hujasema kitu lakini zaidi ya kulalamika! Weka mambo hadharani usaidiwe mwali!
 
Ni matunda ya kutojua umuhimu wa mke ktk kuish ,pengine hata wa mume ktk kuish nae pia..na wengi wetu hujua hilo baada ya mmoja kati yao..kuondoka.kwa namna yeyote ile.ucumie sana dia yana mwisho hayo.
 
Kwanini hamna huruma?
Kwanini hamthamini wanawake?
Kwanini hamna heshima na adabu?
Kwanini Hamthamini michango yetu kwenye familia??
Kwanini Mnamadharau?
Kwanini hamjali maumivu msababishayo kwa mkeo?
Kwanini hamjali hisia tulizonazo??
Kwanini mawasiliano mwanamke tu ndo aanze??
KWanini hamjali msaada mnaopewa??

NAWACHUKIA NAWACHUKIA NAWACHUKIA NAWACHUKIA MILELE SIWAPENDI

JF Ingeruhusu matusi nadhani hasira yangu ingeishia hapa leo.............ukoje wewe mwanaume upendweje?? Usaidiweje?? Ujaliweje?

Ngoja nika............oohh gooooshi nilale tu
Mtu asiniulize nini kimenikuta but nimeumizwa vya kutosha today nasema kilichonisibu

Kwanini? Mawasiliano mwanamke tu ndo aanze (nimeipenda)

Nikukumbushe ndowa inahatuwa 3 hatuwa hatali ni ya 2 ukivuka unakuwa umeshinda yawezekana upo kwenye hiyo hatuwa ya 2 pole shangazi yangu
 
pole dena,wewe endelea kuchati na wana jf,utajikuta mara moja hasira zinashuka zenyewe.baadae utakuwa ok tu.
 
duhh! kakfanyaje huyu jamaa! kweli inauma sana hasa kama una true love kwake! ningekuwa karibu nawe ningekupa proper counceling. hapo kwenye mse*** unamanisha nini? msela au?
 
pole mpnz...jipumzikie au nenda sehemu ukapunge upepo urefresh akili yako!!

Sipiyu dah...kwani jf kazi yake nini kama sio sehemu ya kupoozana na kupeana mawazo!!

pole sana dia,i understand how you feel japo sijui ni tatizo gani limekusibu, mungu akupe moyo wa uvumilivu.
Kweli kabisa lizzy,jf ni mahali muafaka kwa kupoozea moyo maana unapata ideas anuai. I remember few weeks ago nilipatwa na prob lakini ckuthubutu kumwambia mtu yoyote but nililiweka jf nikapata msaada wa mawazo mazuri sana.
 
Pole mama,inaonekana huyo jamaa leo utamlaza sebuleni..kama upo kwenye ndoa watafute wazee muyamalize ila ka ni mshkaji tu alafu anakuzingua miaka yote hiyo mwambie ipo cku ataamka akute haupo
 
We acha tuu ninaye miaka nenda rudi lakini amezidi sasa ananiudhi kupita maelezo hajali kabisa maumivu yangu m*** sna huyu jamaa na hasira leo naweza ua mtu

...ama kweli mjusi ukimkimbiza sana anageuka nyoka na ukiweka kidole ndani ya mdomo wa chura atakung'ata. DA kwa kawaida ni mpole na mwenye busara. Kweli mwanamke mzuri mtafute alfajiri wakati anaamka...
 
Kwanini hamna huruma?
Kwanini hamthamini wanawake?
Kwanini hamna heshima na adabu?
Kwanini Hamthamini michango yetu kwenye familia??
Kwanini Mnamadharau?
Kwanini hamjali maumivu msababishayo kwa mkeo?
Kwanini hamjali hisia tulizonazo??
Kwanini mawasiliano mwanamke tu ndo aanze??
KWanini hamjali msaada mnaopewa??

NAWACHUKIA NAWACHUKIA NAWACHUKIA NAWACHUKIA MILELE SIWAPENDI

JF Ingeruhusu matusi nadhani hasira yangu ingeishia hapa leo.............ukoje wewe mwanaume upendweje?? Usaidiweje?? Ujaliweje?

Ngoja nika............oohh gooooshi nilale tu
Mtu asiniulize nini kimenikuta but nimeumizwa vya kutosha today nasema kilichonisibu
Honey, haya mambo si ungenieleza tu hapa home tukayamaliza badala ya kwenda ku-yell huko jamvini?
Baby, waswahili walisema hasira hasara, umekasirika, badala ya kuniambia unasubiri mi ndo nianzishe communication wakati wewe ndo unajambo la kuongea!
Baby, nashangaa kwamba nimekuwa nikikukosea wala huniambii kumbe ulikuwa unatunza tu ili siku moja ukanianike jamvini? Maana siamini kama makosa hayo yote nimefanya leo tu!
Sasa honey, umeshanianika mkekani tayari, masela waananiona mi loser; tukiyazungumza haya yakaisha, utaweza kweli kurudi jamvini na kuwaambia masela kuwa mi ni jianaume la nguvu?
Baby, calm down. Ebu njoo tuyazungumze, yana mwisho haya.
 
pole sana yote maisha,uvumilivu unahitajika ingawa trust me some men wanaboa yan wanaweza kukujaza had kwenye nyuc.....
 
Pole dena ila sio wote bwana.....umeingia cha kiume wewe.....Jipange tena kuanza round ya pili...

.
Pole Best!
Umetendwa Mama??...ndio kidunia!
Ni PM ili niukonde moyo wako, usihofu mambo iko kwangu! Na mwene niyi Mungoni, bwela koni.

.
 
Mwacheni Dena Amsi akapumzike.
Mwenyewe keshazi 'flush' ghadhabu zake, yeshakwisha.

Ilikuwa dhoruba za ibilisi za kutaka kumjaribu
...wimbi lishapita hilo. Tutange yajayo...:A S-coffee:
 
Back
Top Bottom