Nawachukia Sana wanawake wapiga mizinga

Nawachukia Sana wanawake wapiga mizinga

Superbug

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2018
Posts
13,864
Reaction score
35,079
Kwakweli nawachukia Sana wanawake wapiga mizinga Yani unamtongoza Sasa hivi baada ya dk moja anaaanza kuomba hela ya kula au Kama Ana mtoto (singo maza) itaanza kusikia kesho nampeleka mtoto hospital Yani wanawake mnamaujinga mengi Sana mpaka mnatia kinyaaa. Acheni kuwa ombaomba uzeni hata ndizi mtaani.

Naomba hela ya kula.
Naomba hela nikasuke.
Mwanangu anaumwa.
Naomba hela ya mchezo.

Yani MNABOA Sana Sana hamjui tu. Mi nashauri wanaume wenzangu mademu wa dizaini hii unamla na tg ili kuwe na win win situation.

Superbug
 
Demu Ile kuchukua namba yake ya simu mchana,jioni

1.Hajala njaa inamuuma na Hana Hela
2.Nywele zimefumuka
3.Simu yake mbovu
4.anadaiwa vikoba
5.ana send off ya aunt Hela ya mchango na sare
6.simu imeharibika
7.anaomba vocha
8.anaumwa

Mimi binafsi nikiona jambo Moja kati ya hayo hua nawachana live!

'Nanukuu'
Dada samahani naomba nikae mbali na wewe inaonekana Mimi Nina nuksi na mikosi kwako haiwezekani Ile kuchukua namba Yako tu unapata matatizo mfululizo!

Mwisho wa kunukuu!

Ndukiiiiiiiiiiiiiiiiiii
 
Mnawezaje kuwa na hamu na singo maza ase? Mi nilijichanganya mara moja akaanza kumfundisha mtoto wake aniite baba nilipambana hadi tukaachana na sitarudia tena kuwa na mahusiano na singo maza, wanaomba hela ya kuhudumia watoto wao bila aibu kama wewe ndo baba yake mtoto.
 
Back
Top Bottom