Ndio, "mlokole" ni neno la kejeli kwa Wapentekoste baada ya kuanza harakati za nguvu za kuinjilisha na kuchukua wafuasi kutoka makanisa mengine traditional, ila baadaye ni kama hata wenyewe walikuja kulikubali hili neno kama brand yao. Ni kama vile Marekani ambavyo blacks walikuja kukubali neno 'nigger" kati yao kama swaga yao.Nimependa ulipoeleza neno walokole. Watu wengi hawaelewi asili ya neno hili, hudhani ulokole ni dini, dhehebu na imani, kumbe ilikuwa ni neno la kejeli, dhihaka na dharau kwa wapentekoste. Huwa nashangaa sana mpentekoste kuitwa na kujiita mlokole, kumbe ni neno la kejeli tu
hivi wale ni walokole au wapentekoste? Ndio kwanza leo najua ni bibi na bwana wajuba hao!Haya wanakuja walokole Setfree mke wa secretarybird
mzee Kulola alilikejeli na kulidhihaki sana neno hili mlokole, alisema mlokole ni mtu asiye na imani thabiti na hana msimamo, anabebwa na kupeperushwa na kila upepo wa imani feki uvumao, anatangatanga, leo yuko hapa kesho yuko kule, hana msimamo wa imaniNdio, "mlokole" ni neno la kejeli kwa Wapentekoste baada ya kuanza harakati za nguvu za kuinjilisha na kuchukua wafuasi kutoka makanisa mengine traditional, ila baadaye ni kama hata wenyewe walikuja kulikubali hili neno kama brand yao. Ni kama vile Marekani ambavyo blacks walikuja kukubali neno 'nigger" kati yao kama swaga yao.
Me hata selewii kaka,hivi wale ni walokole au wapentekoste? Ndio kwanza leo najua ni bibi na bwana wajuba hao!
Mashahidi wa Yehova sio Wapentekoste wala Walokole, pombe wanakunywa na hawaamini katika nafsi tatu za Mungu.Me hata selewii kaka,
Maake Kuna TAG, FPCT, EFATHA, MASHAHIDI WA JEHOVAH, KUNA HIZI MINISTRIES WOTE NI WALOKOLE NA KILA MMOJA UKIMUULIZ ANASEMA YEYE NI BORA KULIKO MWINGINE!!
Hawanywi pombe, alooh kimeumanaMashahidi wa Yehova sio Wapentekoste wala Walokole, pombe wanakunywa na hawaamini katika nafsi tatu za Mungu.
wale hata wapentekoste huwaona si kundi lao, huwaona ni wapotoshaji na wamepoteaMashahidi wa Yehova sio Wapentekoste wala Walokole, pombe wanakunywa na hawaamini katika nafsi tatu za Mungu.
Ilijulikana kama Pentecostal Free MissionIla hapo mkuu hebu fafanua vizuri historia ya upentekoste Tanzania, maana hiyo FPCT ni jina jipya la miaka ya hivi karibuni hata miaka thelani nadhani haijafika tangu lianzishwe. Anzia Free Swedesh katika Tanganyika uje mpaka UMPT halafu FPCT. Usisahau AG kulikotokea TAG na EAGT mpaka wakatokea hawa kina FGBF, KLPT, CAG (Ndani ya CAG kuna Arise and Shine) maliza na hawa wengine wenye mrengo wa kipentekoste japo wanakataliwa na wapentekoste asilia, hawa mitume na manabii walioibuka na huduma zao huku wakiwa na elementi za upentekoste
Ninachofahamu kuhusu ministries..na hivyo vinavyoitwa vituo vya maombezi ni kusajiliwa chini ya mwamvuli wa kanisa fulani. Mara nyingi uanza kusajiliwa chini ya kanisa fulani hasa ya kipentecost kanla ya kujitegemea.Me hata selewii kaka,
Maake Kuna TAG, FPCT, EFATHA, MASHAHIDI WA JEHOVAH, KUNA HIZI MINISTRIES WOTE NI WALOKOLE NA KILA MMOJA UKIMUULIZ ANASEMA YEYE NI BORA KULIKO MWINGINE!!
Oooh mfano mwamposa naona anatumia Calvary nn na Arise and shine ni nn Tena ?Ninachofahamu kuhusu ministries..na hivyo vinavyoitwa vituo vya maombezi ni kusajiliwa chini ya mwamvuli wa kanisa fulani. Mara nyingi uanza kusajiliwa chini ya kanisa fulani hasa ya kipentecost kanla ya kujitegemea.
Si kweli mkuu!Nimependa ulipoeleza neno walokole. Watu wengi hawaelewi asili ya neno hili, hudhani ulokole ni dini, dhehebu na imani, kumbe ilikuwa ni neno la kejeli, dhihaka na dharau kwa wapentekoste. Huwa nashangaa sana mpentekoste kuitwa na kujiita mlokole, kumbe ni neno la kejeli tu
Mbona rahisi tu...Kwa wa Pentecoste mara nyingi Hawa entertain Ile organization ya mtu Mmoja kuwa juu ya wengine so wanatengeneza diversity lakini iliyokuwa coordinated...Wakati makanisa ya litrujia kama RC, KKKT, Anglican Yana organization yenye Mkuu ambaye anaweza ku decide Kwa makanisa yao yote wa Pentecostal haiwezekani, wao makanisa yao ya mahali pamoja yapo na autonomy kubwa lakini wanakuwa na msingi ambao ni common Kwa makanisa yote.Oooh mfano mwamposa naona anatumia Calvary nn na Arise and shine ni nn Tena ?
Au mlima wa moto alikuwa TAG lakini akotelewa inakuaje 🤔
Nimekupata vyema AsanteMbona rahisi tu...Kwa wa Pentecoste mara nyingi Hawa entertain Ile organization ya mtu Mmoja kuwa juu ya wengine so wanatengeneza diversity lakini iliyokuwa coordinated...Wakati makanisa ya litrujia kama RC, KKKT, Anglican Yana organization yenye Mkuu ambaye anaweza ku decide Kwa makanisa yao yote wa Pentecostal haiwezekani, wao makanisa yao ya mahali pamoja yapo na autonomy kubwa lakini wanakuwa na msingi ambao ni common Kwa makanisa yote.
Ukifuata mfano RC unakuta labda Kanisa la St. Peters ndiyo Kanisa haiwezi kupokea amri kutoka Kwa Papa japo Papa au askofu anaweza kuwa ni coordinator kuwaleta pamoja katika mambo ya msingi...
Hii ilifanywa kusudi Ili kuwe na counter balance kwenye power and control ya Imani...Mfano hatari iliyopo Kwa RC ni mfano Papa amekuwa recruited kwenye cult inamaana RC Dunia NJ zima wanaingizwa bila kupinga kwakua wao Kila kitakachosemwa na Papa ni Yes and Amen...Kwa Pentecost hii siyo possible maana Kanisa au huduma inaweka kukataa na kujitenga na hiyo coordination likajisajili kirahisi ki vyake.
Kwa mfano huo huo Kuna makanisa mengi ya Calvary Assemblies of God hayaamini katika kukata keki, kuuza mchanga na maji lakini Bado ni CAG sawa sawa na Arise and Shine. Wala Askofu Mkuu hawezi kuingilia huduma ya Arise and Shine kwamfano, isipokuwa kumshauri mwenye huduma hiyo na kuendelea kumwombea, akizidisha sana wanamtenga. Anaweza fundisha Somo kama Hilo la kuonya kwenye Mkutano Mkuu wa Kanisa lenyewe la CAG.
Kwa uchache nafahamu Askofu Mkuu wa CAG na mwanzilishi mwenzake ambaye ni marehemu ni watu wenye hekima sana, hata kama hawaamini kitu huwa siyo judgemental lakini hawaachi kuonya Kwa ustaarabu. Kwa kipekee Askofu Mkuu wa CAG Yupo simple sana lakini deep rooted kwenye Imani. I used to doubt him lakini baada ya kumfuatilia niligundua ana moyo wa kichungaji, he gives it time na ameweza kuliweka Kanisa nje ya politics Kwa muda mrefu sana...Ila Sasa wanapoanza kuacha Ile misingi ya awali ataanza kuharibu Imani na kujikuta anaingiia kwenye manipulation ambazo akiweza kukaa nazo kando Hadi kujenga taasisi imara yenye wasomi wengi lakini akiendelea kushirikiana na Kila mwenye Imani yake pasipo kujifungamanisha nao.
Pamoja na yote hayo, hata hivyo hutaisikia CAG katika mambo yakutangaza miujiza wala kuchangamana na siasa, this is the first experience Namwombea tu awe makini sana asijepoteza credibility yake aliyoijenga Kwa muda mrefu. Yeye mwenyewe alivyokuwa powerful kama angekuwa mtu asiyejengwa kwenye misingi imara ya imani angekuwa maarufu sana huku Tanzania na tajiri sana sana, lakini ni mtu wakujizuia sana, lakini si mnyonge, anaijua nafasi yake katika Kristo na huduma aliyopewa kuionhoza ya CAG. Imagine watoto wake wa kiroho wengi ni maarufu sana including huyu wa hiyo huduma na wengine wengi wenye makanisa imara lakini na maarufu sana...wengi wa CAG origional hawajajitangazi ki binafsi na wanafanya kazi ya Mungu Kwa uaminifu wote.
Wanakunywa..Hawanywi pombe, alooh kimeumana