GE2025 Nawahakikishieni Watanzania Wenzangu Rais Samia Hatawaangusha Wala kuwakatisha Tamaa

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Mkuu huyo unaemnadi hapa ameshindwa hata kuapa mbele ya hizo almost 100% waliomchagua ila wewee upo hapa kumtolea ahadi?? Ni ukosefu wa maono au? Nadhani ungesubiri kidogo unless upo kazini!
 
Mkuu huyo unaemnadi hapa ameshindwa hata kuapa mbele ya hizo almost 100% waliomchagua ila wewee upo hapa kumtolea ahadi?? Ni ukosefu wa maono au? Nadhani ungesubiri kidogo unless upo kazini!
Acha kujipofusha akili na macho. Ukitaka aaipie kiapo chake akiwa wapi?
 
wewe mbwa wewe ...subiri siku yako yaja
 
Au labda zile 4R zote zilikuwa ni Risasi Risasi Risasi Risasi sema hatukuelewa ?
😥😥
Ila Zero brain,Low IQ ,low Voltage.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…