Nawahamasisha wapenzi, mashabiki, na wanachama wa SIMBA SC Kufika katika tawi lolote na Equity Bank Kuchukua kadi za mashabiki

Mkuu kwani tatizo liko wapi? Kama Yanga
na Posta walifeli, acha Simba wajaribu. Kumbuka Yanga walifeli kuendesha kampuni pia, Simba wanajaribu na Yanga hao hao waliokuwa wa mwanzo sasa ndio wanajifunza kwa Simba. Kila mtu na akili zake bila kujali ulikuwa wa kwanza kuzaliwa au wa mwisho
 
Kila mwezi kuna percent inayoingia kwa MO, kila ukifanya transaction kuna pesa anabeba, huyu muhindi ana akili sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…