Nawahi nafasi ya saa sita usiku wa kuamkia 1/1/2023

Nawahi nafasi ya saa sita usiku wa kuamkia 1/1/2023

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2012
Posts
5,108
Reaction score
10,191
Jamani naweka booking, katika muda huo.
Nitaweka uzi wa kuwatakia heri ya mwaka mpya wanaJF wote. Pia nitaandika malengo yangu ya mwaka 2023.

Naweka booking ili mtu asije akaniwahi kuweka similar uzi.

Heri ya Mwaka Mpya ndugu zangu wote...

Tegemeeni mengi mazuri kutoka kwangu mwaka 2023.

Waliotutoka walale salama, Pour Some Liquor!
 
2023 is loading...........
Screenshot_20221231-141549.png
 
mwaka wa wakatolik huo
et siku inaanza saa sita usiku, how?

Daniel 7:25​

Naye atanena maneno kinyume chake Aliye juu, naye atawadhoofisha watakatifu wake Aliye juu; naye ataazimu kubadili majira na sheria; nao watatiwa mikononi mwake kwa wakati, na nyakati mbili, na nusu wakati.
 
Kikubwa uzima, ndani ya muda huo mchache maelfu ya watu watafariki.
Muombe Mungu usiwe mmoja wapo,
Inshallah
 
Back
Top Bottom