johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Katikati ya Corona sukari imeadimika madukani watu wanalazimika kusongamana bila kupenda wakiitafuta sukari.
Hivi kumbe kipindi cha nyuma sukari ilikuwa inatokea nje?Acha porojo wewe sukari yakufidishia inatoka nje,nje penyewe ndo hivyo sasa hapo waziri ana kosa gani?
Naona maccm yanapigana yenyewe kwa yenyewe.Acha porojo wewe sukari yakufidishia inatoka nje,nje penyewe ndo hivyo sasa hapo waziri ana kosa gani?
Huwa anakawia sana kusikia shida zenu maana hazimhusu.Yeye ni viwanda ,kazi,ujenzi na kutengua/teua.Hayo mengine hayamhusu unless kama waliosababisha ni mabeberu au mawakala wao(wapinzani esp.CDM) VINGINEVYO HAUTAMSIKIA AKILIONGELEA.Shida ya sukari vipi jamaa hapo shiatle hajasikia? Kufuturu imekuwa shida. maguuuuu geuka Huku uone! Wanatupiga! Sukari wameficha?
Alitakiwa kujipanga mapemaAcha porojo wewe sukari yakufidishia inatoka nje,nje penyewe ndo hivyo sasa hapo waziri ana kosa gani?
anawavutia pumzi. Huyo Waziri asked Mkoa mzuri, maana hali si Hali na hatumsikia anasima nini! Magu akimaliza kujifukiza tu ataweka sawa namuaminiaHuwa anakawia sana kusikia shida zenu maana hazimhusu.Yeye ni viwanda ,kazi,ujenzi na kutengua/teua.Hayo mengine hayamhusu unless kama waliosababisha ni mabeberu au mawakala wao(wapinzani esp.CDM) VINGINEVYO HAUTAMSIKIA AKILIONGELEA.
Alitakiwa ajipangaje labda? Hebu suggestAlitakiwa kujipanga mapema