Nawahurumia sana waziri wa afya Ummy Mwalimu na waziri wa Sukari Innocent Bashungwa kwa sababu huu ni mwaka wa uchaguzi!

Nawahurumia sana waziri wa afya Ummy Mwalimu na waziri wa Sukari Innocent Bashungwa kwa sababu huu ni mwaka wa uchaguzi!

Naona maccm yanapigana yenyewe kwa yenyewe.

Mpinzani angeongea ungesema katumwa na mabeberu je na huyu mwana ccm mwenzako naye katumwa?
Yaani wewe serikali ikifanya poa mtu akapongeza ni ccm au ikifanya fyonko mtu akaponda basi ni mwanachama wa upinzani...Wewe unafaa ukue uzidi kujifunza kwa wenzio waliokomaa kisiasa.
 
Ruhusuni Zanzibar wawaletee sukari mbona mnateseka hivi wakati Zanzibar sukari nyingi sana, kilo moja kwa reja reja ni 2000 tu hakuna duka hata moja inazidi hiyo bei.
 
Kile kiwanda kipya vipi kile kilichokuwa kinajengwa kwa ubia kati ya NSSF na PPF. Je wale wakulima waliolima miwa vipi? Maisha yake kuna vitu akiondoka madarakani lazima akitunga kitabu atasimulia. Sugar na Korosho.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unawahurumia vipi wakati wana maisha mazuri kuzidi wewe tena wanaweza kufukuzwa au kujiudhulu uwaziri wakawa na uwezo wa kulisha familia yako. Watu wa kuhulumia ni yatima, wajane, walemavu wazee walio masikini

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bwashee mbona wanapiga kazi fresh tu na kwenye uchaguzi kupitia chama letu dume, lazim washinde kwa kishindo..

Achana na hawa CDM na mabeberu, sukari iko nyingi tu mtaani huku JF, Inst, Facebook, tweeter ndio imeadimika..hawa CDM na mabeberu wanataka kutengeneza taharuki tu..

Corona Tanzania haina madhara tena imeshazibitiwa na majemedari wetu walioko msatari wa mbele, we huoni hakuna vifo wala wagonjwa wapya tena..

2020 kura zote kwa JPM tunashinda tena kwa kishindo...
 
Back
Top Bottom